Nimeibiwa simu zangu - msaada tafadhari

Nimeibiwa simu zangu - msaada tafadhari

itagata

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2011
Posts
218
Reaction score
77
habari za jioni wanajukwaa,

Ni miezi miwili sasa imepita toka nilipoibiwa simu zangu kwa wezi kuvunja dirisha na kuchukua simu mbili pamoja na TV, pamoja na kupeleka IMEI number polisi, bado sijapata uelekeo wa kupata vitu vilivyoibwa. tafadhar naomba msaada kwa mtu mwenye uelewa ambae anaweza nisaidia nikapata simu zangu pamoja na TV kupitia IMEI namba.

Asanteni
 
Kama hukuwapatia police 100k sina hakika kama ndio sheria ila ndio mfumo elekezi
Usitarajie majibu yeyote, haipo kama unavyofikiri.

Unaweza kupata vitu vyako endapo utajiongeza, vinginevyo mwachie mungu
 
Kwani police wamesemaje?
Walihitaji vielelezo vya mali zilizopotea na nikawapatia copy zake wakaniambia kuwa wanafanya upelelezi, mpaka leo sijapata jibu lolote wala update yoyote
 
Kama hukuwapatia police 100k sina hakika kama ndio sheria ila ndio mfumo elekezi
Usitarajie majibu yeyote, haipo kama unavyofikiri.

Unaweza kupata vitu vyako endapo utajiongeza, vinginevyo mwachie mungu
Ni kweli nishaanza kukata tamaa, maana hakuna dalili za mafanikio.
 
Police kuna watu wa IT ongea nao kikubwa
Walihitaji vielelezo vya mali zilizopotea na nikawapatia copy zake wakaniambia kuwa wanafanya upelelezi, mpaka leo sijapata jibu lolote wala update yoyote
 
Kama hukuwapatia police 100k sina hakika kama ndio sheria ila ndio mfumo elekezi
Usitarajie majibu yeyote, haipo kama unavyofikiri.

Unaweza kupata vitu vyako endapo utajiongeza, vinginevyo mwachie mungu

HAHAHAAAAA MFUMO ELEKEZI....................
PENYE UGUMU PENYEZA RUPIA..........
 
this tz is corrupted
hawawez kukusaidia bila hela ya chai.
fatilia hio kesi hakikisha unapewa mpelelez. Yeye atakachokusaidia ni kupiga simu kweny mitandao yote ya simu kuulizia namba inayotumia hyo imei. kama simu haijaflashiwa na mtu alichomeka lain yake ni lazma ajulikane ndo inafata hatua hii ya kumkamata.

alaf ukipeleka kes police. report vzur, kama umeandika kes ya taarifa usitegemee upelelez. kes ya madai ndo inaupelelezi
 
Asante kwa ushauri, nilipewa mpelelezi nikaonana nae nikampa vielelezo!
 
Yaani mpaka hapo hujaelewa nini sasa,bado kuna kitu kimoja unaambiwa hujakamilisha ndio maana usipoangalia hutazipata hizo simu zako,au ni fek, zilifungiwa wewe uka unlock IMEI yako ndio maana wanashindwa kuzipata?
 
Nimeelewa unachomaanisha ndugu. simu zote ni original ndio maana nahangaika nazo kwani moja ni Samsung Tablet 3 na nyingne ni Nokia XL lakn najua kupatikana kwa hizo simu kutafanikisha kupatikana kwa TV yangu LG ambayo ilikuwa flat screen
 
kama samsung
ingia kwenye site ya "find my mobile" ya samsung. ingiza email.
utajua location ya simu
simu zilizopigwa na kupokelewa
utaweza kulock simu
kufuta vitu vyako vyote
hata kuipiga simu ikaita pindi utakapokua kweny hyo location ili kumbain anayetumia hyo simu
 
Asante sana!
 
Back
Top Bottom