Msaada: Samsung Grand 2 inapata joto kali

Msaada: Samsung Grand 2 inapata joto kali

Jotu

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2012
Posts
444
Reaction score
311
Habari wana JF simu yangu inapata moto sana hasa ninapotumia mitandao au hata ikiwa mfukoni tu. Nimejaribu kudownload appl ya kupoza lakini doesn't work.

Hii ina athari gani?
Nini cha kufanya kuondoa hali hiyo?
 
Back
Top Bottom