Msaada Nokia Lumia 830 kioo kinasumbua

Msaada Nokia Lumia 830 kioo kinasumbua

inspectorbenja

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2012
Posts
650
Reaction score
716
Hbari wadau nina Nokia lumia 830.Kioo kinarespond vizuri ishu i zile button tatu za chini yaani search, home na return hazirespond.Nimeifungua na kuweka weka ikanda bado hazirespod.Nimepeleka kwa mafundi wanadai solution ni kuweka kioo kipya.Sababu tupo watalaam humu nilikuwa nauliza je bei ya kuweka kioo kipya ni shiling ngapi maana nipo up country na mafundi huku nadhani kama wanatupiga vile.
Msaada jamani
cc chief Mkwawa
Mwl RTC
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom