Msaada: Nimeletewa makorokoro kutoka Uingereza

Jindal Singh

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2015
Posts
1,857
Reaction score
1,542
Salaam JF.
Jamani kuna ndugu yangu kanitumia router na Adsl box plus ethernet cable na mobile kutoka Uk, sasa nimekukuruka kutengeneza wi-fi iliniweze kusambaza lakini nimeshindwa inaonyesha kule Uk Isp wao wanatumia internet through wired sasa mimi naona huku tz ni kizunguzungu tu! Sielewi kuhusu haya makorokoro ila nahisi hizi router huwa zina option ya usb dongle yaani wireless network.

Sasa naomba mwenye uelewa wa kupata internet eidha kwa kupitia wire au wireless anielekeze jinsi ya kuunga broadband na niwezekutumia hii router (BT hub
 
tmp_25209-20160925_1940381904035910.jpg
tmp_25209-20160925_1940381904035910.jpg
tmp_25209-20160925_185936-888285121.jpg
 
Duh vitu vya enzi hivyo, kwanza speed zitakuwa ndogo sana, kama unataka kutengenezeza wireless network kwa eneo lako ni bora ungenunua mifi zile ndogo zinakuwa na na battery na unaweza tembea nayo ni kama hotspot za smartphone zifanyavyo kazi, au kama ni kubwa ungetafuta router zinazo support 3G/4G dongle au Simcard nadhani tigo, halotel wanazo, ila kwa hizo hamna cha maana utakachofanya nazo ni old generation nahisi ni 56k modem zilitumika miaka hiyo.
 
Dah! Nashukuru sana kwa ushauri wako mimi mwenyewe nilikuwa nahisi hivyo, kwahiyo hii router haisapoti usb dongle duh! Kweli haya makorokoro. Hakuna kingine cha kuyafanya?
 
Hiyo wi-fi unayotaka kusambaza unafikiria kusambaza kwa ukubwa gani? na access-point yako unataka iwe inatokea kwenye modem moja ya 3G/4G?
Nauliza hivi maana hardware inategemea na unachotaka kufanya, kwa mtu mwenye mpango wa kusambaza wifi tuseme park ambayo ni eneo kubwa, anatofautiana na anayetaka kusambaza chumbani, na itatofautiana na anayesambaza kwenye coffee shop au cafe wanayokaa watu 20-30.
 
Nataka itokee kwenye modem 3g
 
Back
Top Bottom