teac kapex JF-Expert Member Joined Jan 23, 2011 Posts 470 Reaction score 137 Sep 23, 2016 #1 Wadau nina cm aina tajwa hapo juu napenda kuifanyia rooting nimejaribu kingroot imegoma je zaidi ya hapo nitumie app gani nzuri? Karibuni wataalamu.
Wadau nina cm aina tajwa hapo juu napenda kuifanyia rooting nimejaribu kingroot imegoma je zaidi ya hapo nitumie app gani nzuri? Karibuni wataalamu.
PureView zeiss JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 14,073 Reaction score 45,147 Sep 24, 2016 #2 Kwa tecno tumia pc kuroot Simu yako Kwa njia ya apps hiyo Simu utaikosa
Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 38,170 Reaction score 76,602 Sep 24, 2016 #3 Tumia kingo root ila hii ni utaitumia kwa kupitia pc, so download software install kwenye pc na maliza ishu yako fasta sana kuliko unavyotarajia.
Tumia kingo root ila hii ni utaitumia kwa kupitia pc, so download software install kwenye pc na maliza ishu yako fasta sana kuliko unavyotarajia.
teac kapex JF-Expert Member Joined Jan 23, 2011 Posts 470 Reaction score 137 Sep 26, 2016 Thread starter #4 Kwenye pc unafanyaje sasa hebu toa maelekezo ya kutosha rafiki