Simu imegoma kuwaka

Simu imegoma kuwaka

Alban432

Member
Joined
Sep 1, 2016
Posts
11
Reaction score
2
Juzi wakati naendelea na utundu utundu wa simu nkajikuta naweka rom ya h6 kwenye TECNO p5....... Ikafanikiwa kuflash lakini tangia hapo inawaka lakin hata Maneno mf TECNO hailet.......... Nmejarib kuflash kwa kumtumia sp tools nayo imegoma... Naomben msaada jins ya kuflash mwenyewe
 
inakubali recovery mode?
kama inakubali unaweza kuifanya iwake..
kama hata recovery mode haileti sidhani kama itawaka tena
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom