Wakuu naomba Msaada, app ya fb kwenye adroid imeanza kuzingua ghafla ku log in, kama ambavyo inaonesha kwenye screen shot, kuwa tatizo ni internate, wakat net iko vizur.
Msaada wenu tafadhari
wakuu habar? simu yangu ina shiiida yaan kuna maneno CLICK EXIT yanatoke kwa chini then simu inastaki kwa sekunde 30 hvi then ndo itafanya kazi tena..nakelwa sana jaman naomba msaada wa jinsi ya...
Salamu ndugu.
Nina laptop kila nikifungua inaniambia window failed to connect to service, na kila nikiplay wimbo hauanzi kawaida sekunde za mwanzo kuna vitu kama mawingu hivi na sauti haitoki...
Habari wana JF
Kwa bahati mbaya nili format Hard drive yangu ,nikaitoa na kuweka nyingine mpya kwenye laptop,kwa sasa nataka kuitumia kama external hard drive,na ninataka ku recover documents...
Natumia win 7, nataka ku-edit 'hosts' file ndani ya 'windows' folder ukiingia 'Drive C'. Lakini kila niki-save inakataa. Inasema am not allowed. Nipeni njia wakuu. Asanteni.
wakuu wana jf wataalamu wa hizi mambo, naomba kujua naweza kupata wapi app itakayoniwezesha kusoma comic books kwenye smartphone, coz nikivifungua hivi vitabu naambiwa not supported, so msaada...
Wakuu naombeni mnifahamishe hivi vyombo vinakaaje huko juu bila kuwekwa mafuta na marekebisho mengine ili viizunguke dunia na kusaidia mawasiliano hapa duniani.
Ni kwamba huwa zinashushwa...
How To Recover Deleted Files (10 BEST Freeware Tools)
Sometimes we accidentally deleted important files. At times, our thumb drive/stick becomes corrupt.
Any how, it isn't fun when we lose...
Habari wana JF simu yangu inapata moto sana hasa ninapotumia mitandao au hata ikiwa mfukoni tu. Nimejaribu kudownload appl ya kupoza lakini doesn't work.
Hii ina athari gani?
Nini cha kufanya...
Habari wakuu.
Katika pita pita zangu nimekutana na hii modemu sema sijaiona walau nii google niione specification zake ila ina 3G/4G.
Nilitaka kujua ni shi ngapi?
Waliowahi zitumia je zinafaa ku...
kampuni ya samsung leo wamezindua simu yao inayoitwa samsung z2, simu hii haitakuwa na android kama ilivyozoeleka kwa simu za samsung, bali itakuwa na operating system ya samsung wenyewe inayoitwa...