KARIBUNI..........NITAENDESHA VIDEO TUTORIALS ZA MAMBO YA IT. KWA KUANZA DOWNLOAD HIZI, NAMNA YA KUTENGENEZA BLOG YA BIASHARA, KUSAJIRI DOMAIN NAME. NA KUINGIA ADD SENCE.....
Wakuu embu nitoeni humu gizani kuhusu haya mambo.
Official whatsapp inaingiliana na hizo whatsapp nazoziita feki mimi yani (Gb whatsapp na whatsapp plus). Imekuaje hili jambo likawezeshwa? si...
Wajuzi kwema!
Nahitaji kujua jinsi ya kushare au kutuma kaz zangu ninazochapa kwa kutumia mfano MS word,MS Excel kwenda kwenye internet, ili watu wengine wakigugo wanazikuta kazi zangu hizo.
THE SIGHT OF a passenger jet performing stunts might terrify you, but it shouldn’t. The Boeing 737 MAX is the first new plane of Boeing’s second century of existence, but before it can enter...
Kwa developers, ningependa kama kuna mtu anafahamu any messaging api specifically kwa mitandao ya Tanzania, nahitaji kuweka feature ya authentication kwa kumtumia user sms yenye pin number.
I...
Nina laptops aina ya Asus ni mini sasa Hdd yake ni kama 28 Gb nahitaji ku upgrade je hard disc zinaingiliana au zinatofautiana kutokana na mashine nahitaji ya 200Gb ebu nipeni na bei kabisa
Nimeinstall two outdoor AP( tp link TL WA5210g) ambz nimezconfigure into bridge mode ( point to point) . Nikirun timed ping y the other device napt reply chache sana. Distance btn them to is 20m...
Wakuu
Ninatumia lumia 1520 ilikuwa na window 8.1 sasa nika update kwa kutumia wi-fe ikaja window denim.
Baada ya hapo nikaingia update advisor wakaniambia naweza update window 10.
Nikarudi...
Habari wana ndugu kuna picha naonaga huku kwenye mitandao zinatoka vizuri na vitu ambavyo havihisiani na image inayokusudiwa hufifia na kubaki kitu kilichokusudiwa tu kinaonekana vizuri.
Je ni...
Habari wana wataalamu wa JF naomba kujua hizi applications zilivyotengenezwa, I need a vivid details since am newbie in the industry.
Mobile money (mpesa,tigo pesa,airtel money etc)..........i...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.