Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Jamani naombeni msaada wa kurekebisha au kutengeneza au hata ushauri wa kufanya katika simu yangu. Tatizo kubwa ni ina lock ya icloud. Nawasilisha.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jinsi ya kudownload movies kutumia torrent: MAHITAJI U torrent au bit torrent amabayo unaweza ukagoogle alf ukainstall kwenye mashine...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Amani kwenu wa jamii. Naomba kuelekezwa nitumie program ipi inayoweza kudownload move katika simu za smartphone itakayoonyesha zaidi ya nusu saa. nitashukuru kama nitaelekezwa, Maana nyingi...
0 Reactions
16 Replies
23K Views
Habari zenu wakuu? mimi ni mwanaJF mkongwe japo kwa muda mrefu kidogo nilikuwa busy kidogo na kitabu, now I'm back. nafurahi kuona JF imekuwa improved kuanzia kwenye templates, page zinaload...
5 Reactions
27 Replies
12K Views
Huwa naamnini hapa tuna watalaam siyo wa Kawaida kwenye mambo ya IT. Nimedownload Total Video Converter sasa wanataka ninunue ili kuitumia namimi sina pesa. Tafadhali msaada mwenye ujuuzi ili...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nina Huawei Home router. Model:HUAWEI Lte CPE B593s-22 IMEI:860091023456914 Msaada waku unlock niwenatumia line zote kwa sasa ni smile.
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba Msaada wapi naweza nikahamisha video kutoka kwenye mikanda ya VHS kwenda kwenye CD hapa Dar es Salaam
0 Reactions
0 Replies
605 Views
Habarini Wadau, Ni laptop mpya, na hii line nikiiweka kwenye simu natumia internet vizuri tu ila nahitaji kujuzwa namna ya kuconnect kwenye laptop kupitia Modem. Hapa kwenye configuration ya...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
.
0 Reactions
1 Replies
779 Views
Kuna situation huwa zinatupata tunahitaji kutumia wifi kwenye simu na laptop zetu ila tunakuwa katika eneo lisilo na wifi, leo tunajifunza jinsi ya kujitengenezea wifi hotspot zetu binafsi kwa...
3 Reactions
29 Replies
8K Views
kama unaweza kuandika html/java script codes ni chek whatsapp 0672972307 fasta nina kaz kwa ajili yako malipo tutaongea
0 Reactions
4 Replies
831 Views
Wakuu naomba Msaada, app ya fb kwenye adroid imeanza kuzingua ghafla ku log in, kama ambavyo inaonesha kwenye screen shot, kuwa tatizo ni internate, wakat net iko vizur. Msaada wenu tafadhari
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi natumia simu ya smart ya voda ya laini moja,ninataka nitumie kwa mitandao mingine pia.Nawezaje Ku unlock simu hii. Naomba Msaada.
0 Reactions
1 Replies
629 Views
wakuu habar? simu yangu ina shiiida yaan kuna maneno CLICK EXIT yanatoke kwa chini then simu inastaki kwa sekunde 30 hvi then ndo itafanya kazi tena..nakelwa sana jaman naomba msaada wa jinsi ya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Salamu ndugu. Nina laptop kila nikifungua inaniambia window failed to connect to service, na kila nikiplay wimbo hauanzi kawaida sekunde za mwanzo kuna vitu kama mawingu hivi na sauti haitoki...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Habari wana JF Kwa bahati mbaya nili format Hard drive yangu ,nikaitoa na kuweka nyingine mpya kwenye laptop,kwa sasa nataka kuitumia kama external hard drive,na ninataka ku recover documents...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hivi mfano my computer iko compatible with window xp afu nikaipiga window 7 au 8 itakubali au????
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Natumia win 7, nataka ku-edit 'hosts' file ndani ya 'windows' folder ukiingia 'Drive C'. Lakini kila niki-save inakataa. Inasema am not allowed. Nipeni njia wakuu. Asanteni.
1 Reactions
22 Replies
2K Views
wakuu wana jf wataalamu wa hizi mambo, naomba kujua naweza kupata wapi app itakayoniwezesha kusoma comic books kwenye smartphone, coz nikivifungua hivi vitabu naambiwa not supported, so msaada...
0 Reactions
5 Replies
826 Views
Wakuu naombeni mnifahamishe hivi vyombo vinakaaje huko juu bila kuwekwa mafuta na marekebisho mengine ili viizunguke dunia na kusaidia mawasiliano hapa duniani. Ni kwamba huwa zinashushwa...
3 Reactions
74 Replies
11K Views
Back
Top Bottom