Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Hii aina ya modem imenipa kazi sana ku-unlock na bado sijafanikiwa. Kuna toturial za ku-unlock hii moderm kwa dc unlocker lakin kwa hii aina ya modem lazima ulipie. Wataalamu wenye ujuzi wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu wanajamvi. Katika pitapita zangu mtandaoni nimkutana na Cyber Class inayotolewa na TZ-CERT (Timu ya Mwitikio wa Kukabili Majanga ya Kompyuta Tanzania). Katika darasa hilo linalopatikana hapa...
0 Reactions
0 Replies
911 Views
Hivi jaman,,kubadili rangi katka thread kuwa nyekundu, blue, yellow unafanyaje? Natumia Techno Y3
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Habari wadau, Nimeona hili tangazo mahali, kazi kwenu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau nina simu iphone4 toka Japan nimepewa zawadi lakini inagoma kusoma mitandao ya huku. Mwenye kujua wapi naweza kuifungua na kwa gharama gani anijuze. Au ndo haiwezi fanya kazi niwape watoto...
0 Reactions
3 Replies
800 Views
Jaman nsaidien cm yangu n j8nkienda pakutuma audio inakuja recorder na watap record bc amna mzk mngne... Nsaidien wadau [emoji25]
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari zenu Professionals Naomba msaada LAPTOP yangu inakataa kusoma DVD ninataka Ku burn haisomi kila DVD empty nikiweka inaanyesha X kwamaana hairambui..nimrjaribu aina nyingi za DVD lkn wapi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu zangu nimejaribu Ku burn CD imekataa nawezaje Ku update CD ROM. Drivers?
0 Reactions
0 Replies
469 Views
Shida yangu ni kwamba Nina magroup ya whatsapp kama 10 sasa sipendi kuona jinsi watu wanavyoendelea kuchat maana napata notification nyingi zinanipa disturbance katika shughuli zangu,sitaki ku...
0 Reactions
38 Replies
13K Views
Kufungua application zinazotaka administrator privileges, au application ambazo hazifunguki mpaka uzi run as administrator, kwa ku right click app husika na kuchagua kutoka kwenye dropdown menu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari nipo, Chanika Dar es Salaam, kuna computer zangu mbili zinagoma kuwaka.Nataka kwa atakayenitengenezea kwa bei nafuu. Nipigie kwa 0714306015
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Natafauta cover la simu infinix note 3 x601 kama unayo niambie usijali kuhusu bei, nipo dar k.koo nimekosa. 0717501557
0 Reactions
0 Replies
655 Views
Habari wana JF! Kuna hii Protocol wameanzisha CRDB kukutaka usajili Card yako na VBV/Secured Code,awali mimi nilikua na Master Card ambayo nafikiri nilisajili 2014 na ulikua unajaza Form tu then...
0 Reactions
12 Replies
13K Views
Habar wadau wa JF.. Natumain wkiend imeendaa poaa ya sartdy... Shdaa yang n kwamba nime install pes game kwny pc yang lakn cha ajabu game limekataa ku run on window 7 nkifungua inanambia...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Naomba msaada.. Niliacha PC yangu nyumbani kwa mdogo wangu sasa nimekuta yafuatayo . 1.desktop icon zote zimehamia kulia.... 2.program zote zipo kama kawaida lakini nikizifungua ni kama ndo...
0 Reactions
0 Replies
569 Views
Pc yangu imezima ghafla na kujiwasha,mara tu baada ya kuwaka imepoteza sauti na kuweka alama X ile sehem ya kuongezea sauti,hii ni baada ya kumpa dogo atumie,then dogo alichomeka waya flan hiv wa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu wa jukwaa la manufaa habari zenu,naomba kujuzwa kama kuna mbadala wa kuchuma mapato online kupitia internet zaidi ya Google Adsens na ni namna gani ya kujiunga na ni vipi unanufaika...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wana tech, Leo tufahamishane kuhusu wifi hotspot zenye login page, mara nyingi hufahamika kama captive portal, hii mifumo hutumika sana kwenye migahawa ya kisasa na mahoteli ya kisasa, na...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Back
Top Bottom