Mjamaa masalia
JF-Expert Member
- Nov 9, 2012
- 373
- 354
Wakuu naomba Msaada, app ya fb kwenye adroid imeanza kuzingua ghafla ku log in, kama ambavyo inaonesha kwenye screen shot, kuwa tatizo ni internate, wakat net iko vizur.
Msaada wenu tafadhari
Msaada wenu tafadhari