Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

How To Recover Deleted Files (10 BEST Freeware Tools) Sometimes we accidentally deleted important files. At times, our thumb drive/stick becomes corrupt. Any how, it isn't fun when we lose...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hey, let's switch to Wasup Gold messenger: Wasup Gold messenger - Android Apps on Google Play
0 Reactions
1 Replies
736 Views
Habari wana JF simu yangu inapata moto sana hasa ninapotumia mitandao au hata ikiwa mfukoni tu. Nimejaribu kudownload appl ya kupoza lakini doesn't work. Hii ina athari gani? Nini cha kufanya...
0 Reactions
1 Replies
677 Views
Simu pendwa apo juu,natafta set ya kioo chake....
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wakuu. Katika pita pita zangu nimekutana na hii modemu sema sijaiona walau nii google niione specification zake ila ina 3G/4G. Nilitaka kujua ni shi ngapi? Waliowahi zitumia je zinafaa ku...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
kampuni ya samsung leo wamezindua simu yao inayoitwa samsung z2, simu hii haitakuwa na android kama ilivyozoeleka kwa simu za samsung, bali itakuwa na operating system ya samsung wenyewe inayoitwa...
8 Reactions
52 Replies
7K Views
Simu inagoma kucheza video zinazotumwa Whatsupp tu, lkn kwenye kwengine hamna shida. Msaada please
0 Reactions
5 Replies
949 Views
Kwa wanaojua hiyo machine inasimama how much?
0 Reactions
0 Replies
494 Views
Wakati na edit na ku update post sipati nafasi ya ku edit heading. Plz anaejua naomba anifundishe. Pia nielekezeni namna ya kuweka signature na emoji.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau naomba mnambie namna ya ku-unroot cm maana nliifanyia rooting then nkaiformat but had nw rooting ipo!!! Naomben msaada namna ya kuitoa
0 Reactions
25 Replies
8K Views
habar wa na jf,kuna iphone 4s inachaj ikiwa off tuu ikiwaka haijichaj tena ..chaj pot n nzma battery ni nzima nashindwa elewe nn tatzo mwenye kujua ili naomba msaada
0 Reactions
0 Replies
423 Views
naombeni msaada nilijisahau nikafuta sms ya muhimu sasa je naweza pata tena sms hiyo na software gani or app gani??
0 Reactions
3 Replies
852 Views
habari za jioni wanajukwaa, Ni miezi miwili sasa imepita toka nilipoibiwa simu zangu kwa wezi kuvunja dirisha na kuchukua simu mbili pamoja na TV, pamoja na kupeleka IMEI number polisi, bado...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wadau na wataalamu wa masuala ya computer, namiliki Laptop aina ya HP. Nilinunua ikiwa na Windows 8.1 na baada ya kupata notification ya free upgrade nikaamua kuhamia windows 10 Home. Tatizo...
0 Reactions
4 Replies
844 Views
Habari wataalamu.... ebana nina shida kuhusu application ya computer inayomuwezesha mtu kuzama tv online,mfano katika smartphone kuna app nyingi mfano 'UKtvnow' ni moja ya app inayomuwezesha mtu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za weekend wanajamvi, mi ni network administrator katika taasisi ya serikali,napata changamoto ya network& bandwidth monitoring, nimejaribu PRTG na Nagios ambazo ni free ila changamoto ni...
0 Reactions
2 Replies
902 Views
Habarini wandugu,,naomba msaada wa kuweza kuinstall google app store kwenye simu ambayo manufacture yake yaliKuwa kwa matumizi ya nchi ya China, ,,aina ya simu ni Samsung A7
0 Reactions
0 Replies
497 Views
Baada ya misukosuko ya Toleo lao jipya la simu yake ya Galaxy Note7, kampuni ya Samsung inajiandaa kutoa simu mpya ya Galaxy s8 mapema mwakani kati ya January au february 2017. Tetesi zinasema...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu kama ilivyoada, kila simu, desktop, ipad/tablet, mini laptop, laptop na vifaa vingine vvyote vina IP address (Internet Protocal address). Hii inamanisha wakati tunatumia internet basi...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Nahtaj mnisaidie kunielekeza jinsi ya ku-play music kwa Bluetooth kwny gari. Aina ya gari ni Toyota Crown Athlete. Napenda kuwasilisha
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom