God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,790
- 3,020
Wakuu kama ilivyoada, kila simu, desktop, ipad/tablet, mini laptop, laptop na vifaa vingine vvyote vina IP address (Internet Protocal address).
Hii inamanisha wakati tunatumia internet basi service provide wetu anaona request zetu kwa kutumia hiyo IP address!
Pia kwa wale wanaotumia wi fi mnaweza ona IP address ya vifaa vinavyotumia internet yako.
Sasa nijuavyo mimi, kwa kutumia hii IP address utapata details za muhusika ikiwemo kifaa chake, location, namba yake ya simu na habari nyingine kibao, IP address ni njia nzuri ya kumtrack mtu wako unaemtafuta.
Sasa leo nime weka hiyo address ya Computer yangu google nika search sijapata positive result, nikisearch kama website haifungui japo computer yangu ipo online!
Wana JF naombeni mnipe ushauri zaidi nipate namna ya kutambua details zangu kama hao service provide na TCRA wanavyopata taarifa zetu.
Natanguliza shukrani.