Executor
JF-Expert Member
- Sep 29, 2014
- 872
- 999
Habari wataalamu....
ebana nina shida kuhusu application ya computer inayomuwezesha mtu kuzama tv online,mfano katika smartphone kuna app nyingi mfano 'UKtvnow' ni moja ya app inayomuwezesha mtu kuzama tv nyingi mfano skysport,bein,bbc,cartoon networks n.k so naomba kujua application za PC ambazo zinaweza kunifanya nikatazama tv online especial channels za sports kama skysport,bein n.k...
Ahsanteni...