TheGreatASA
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 250
- 310
Wadau na wataalamu wa masuala ya computer, namiliki Laptop aina ya HP. Nilinunua ikiwa na Windows 8.1 na baada ya kupata notification ya free upgrade nikaamua kuhamia windows 10 Home. Tatizo likaja kwamba ninapo iwasha kwa mara ya kwanza lazima itazima, nikiwasha mara ya pili sasa ndo inakubali kuwaka. Nimejaribu sana kutafuta ufumbuzi sijapata mafanikio. Naomba wataalamu wa computer mnisaidie, tatizo ni nini????