Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

hello guys. kila nikitaka kuingia watsap inaniambia your phone date is inaccurate. adjust clock and try again. nimejaribu kufanya yote lkn bado ipo vile vile, naomben ushaur nifanye nn ili...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
1-Freedom v1.2.8 Apk Google Play in-App Purchase.rar features: -Deleting excessive ads in apps -Make in-app-purchases for free E.T.C 2-Antivirus Pro Android Security ( Avg Antivirus ) V5.4.1.1...
1 Reactions
18 Replies
6K Views
Msaada jamani nahitaji app ya kuangalia local channels hasa za azam na ipp
0 Reactions
23 Replies
10K Views
Nina tecno H5 kwa sasa ina stack hovyo hovyo. Sasa nawezaje kuiroot ili niingize Os mpya. Msaada wenu tafadhali.
0 Reactions
44 Replies
11K Views
Pc yangu aina Toshiba model ya zaman kidgo,imelata hitilafu wakuu ni kam screen ake imepasuka ndani upande mmoja kias flani so haidisplay huko,na haioneshi kitu kabsa yani inanipa shida sana wakuu...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Msaada kwenye tuta wadau nataka kucrack modem yangu isupport any lines. Mwenye hii kitu msaada plse
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za leo wanajamii!! Nimekaa na Lumia 535 dual kwa kama mwaka mmoja na nusu nikifurahia W8.1 Denim hadi W10. Ila sasa naona muda wa mabadiliko ndio umewadia na sijaona bado sababu ya kurudi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna Yeyote anayenishauri ninunue Samsung J3 sasahivi au nisubiri za 2017,??
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Nina tv yangu ambayo niliyokuwa natumia takribani miaka mitatu hv...ni tv aina ya sony flat screen jana naiwasha naona inakataa kuendelea kuwaka yani inawaka halafu inabakia neno SONY tu halafu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani hapa tunabishana mpaka tunataka kutoana roho. Je oil ni mineral au sio mineral? Msaaada tafadhaliii
0 Reactions
15 Replies
2K Views
wadau nina tatzo simu yangu ya tecno imekufa software ghafla je ntafanyaje ipate kufanya kazi kama hapo hawali
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu kuna mtaalam hapa Tz hasa Mbeya ambaye anaweza ku-flash android kwa kutumia Factory Image File??
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habari za muda huu wadau ningependa kufahamu bei ya betri la iphone 5s coz nahis kama betri la kwenye simu yangu limekufa... huku mkoani nilipo hakuna maduka yanayouza hizo betri za aina hiyo hivo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
A group of scientists in Vienna, Austria have launched a plan to create a peaceful nation of its kind that would have Asgardia name. The nation will be created in outer space, location. Details...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwenye dunia ya leo simu za Android imekuwa kitu muhim sana zaid ya kuzitumia kwa mawasiliano bali wengine zimekuwa ni office zake kabisa. hutumia kuhifadhi vitu vyetu vingi nyngine ikiwa ni siri...
0 Reactions
15 Replies
10K Views
Naomba mnisaidie, nipo ninapiga mashine yangu window 7 ila inagoma kuformat disk ambayo window inatakiwa iingie. Pili ukinext inaanza kukocopy files na ku expanding Windows files mpaka 100% ila...
0 Reactions
2 Replies
959 Views
Uraibu wa mitandao ya intaneti unaweza kuwa chanzo cha magonjwa mengine ya akili, ripoti inasema. Utegemezi wa mitandao hiyo unahusishwa na sonona, wasiwasi na mfadhaiko hivyo kuathiri uwezo wa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kama unatumia Samsung uwe makini, sio kwa watumiaji wa Samsung note7 tuu. Hyo video ni ya mtu aliyekipukiwa na Samsung note3 wakati akiwa anaendesha pikipiki.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
I am developing an application which needs a user to input his/her postal address during registration. I have broken the input into two fields: postal address and postal town/city as shown below...
0 Reactions
1 Replies
885 Views
Back
Top Bottom