Ushauri wenu waungwana

Ushauri wenu waungwana

john agrey

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2015
Posts
1,280
Reaction score
2,080
Msaada wetu wadau jana katika kutumia simu yangu nimekutana na kitu kikanishtua sana. Kwenye email set up nilikuwa najaribu kuupdate kwenye computer sasa kilichotokea ni pale nilipoona Google wananiletea ujumbe kuwa email yangu inatumiwa na watu watatu! Mmoja yupo dar es salaam anatumia Mac computer na mwingine anatumia Samsung s3 pamoja na mimi!. Nilistuka nikabadili password basi nikatulia sasa naomba msaada wenu hii ni hali ya kawaida au? Kama sio je kuna watu wanahack account zetu? Mimi email yangu ni siri kiasi kwamba sina mtu ninaeshare nae kiasi cha kuwa anatumia tu free hivo!
Naombeni ushauri wenu waungwana
 
Back
Top Bottom