Orodha ya Tech Hub nchini (Tanzania)

Kutwa

Senior Member
Aug 29, 2016
192
500
Habari wanateknolojia, kama tujuavyo uwepo wa hub na innovation centers katika nchi au sehemu huchangia kwa kiasi kikubwa kusukuma kasi ya ugunduzi na uongezaji ufanisi wa vifaa na mifumo ya teknolojia.

Nimeanzisha uzi huu lengo likiwa ni kujua mahali zilipo hizi Tech Hubs nikimaanisha mkoa(wilaya) na hata namna ya kuwasiliana nao kama inawezekana.

Binafsi naifahamu BuniHub inayopatikana pale Jengo la Sayansi(Costech) Kijitonyama.

Ningeomba na wengine wanaozifahamu waorodheshe eneo lilipo na jina la pia kama kutakuwa na maelezo zaidi ni vema tukajulishana. Sharing is Caring.
 
Mr.genius

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
1,216
2,000
Mi naomba kuuliza utaratibu wa kujiunga na hizi hubs ukoje? Kuna kiasi unalipia? Kazi zake ni nini hasa?
 
Mgumu04

JF-Expert Member
Jul 15, 2011
1,863
2,000
Kwa bongo tech hub ni chache sana kutokana na kukosa support kutoka katika jamii na serikakini kwa ujumla. Chukua mfano watu wengi ( sio wote) ambao wanamiluki blogs/ website ni za bure tukija kwenye software hapa ndio kikwazo kikubwa kila kitu anataka free download sasa mbongo akitengeneza system watu unakuta wanamkatisha tamaa , utasikia huyu ame copy na Ku paste kutoka sehemu flani.

Solution:
Watu watengeneze groups na wafanye innovations IPO
itawalipa sa serikali itoe mchango wake katika kufadhili projects
 
Kutwa

Senior Member
Aug 29, 2016
192
500
Mi naomba kuuliza utaratibu wa kujiunga na hizi hubs ukoje? Kuna kiasi unalipia? Kazi zake ni nini hasa?

Kazi zake ni kukuza, kuboresha na kusaidia ustawi wa mawazo na teknolojia.
Hurahisisha makutano ya watu wa kariba moja kujadili kitu na kukifanikisha kwa njia inayofanana.

Utaratibu wa kujiunga inategemea na uongozi wa Hub yenyewe na uendeshaji wake.
 
Kutwa

Senior Member
Aug 29, 2016
192
500
Kwa bongo tech hub ni chache sana kutokana na kukosa support kutoka katika jamii na serikakini kwa ujumla. Chukua mfano watu wengi ( sio wote) ambao wanamiluki blogs/ website ni za bure tukija kwenye software hapa ndio kikwazo kikubwa kila kitu anataka free download sasa mbongo akitengeneza system watu unakuta wanamkatisha tamaa , utasikia huyu ame copy na Ku paste kutoka sehemu flani.

Solution:
Watu watengeneze groups na wafanye innovations IPO
itawalipa sa serikali itoe mchango wake katika kufadhili projects

Ahsante sana kwa ushauri Mgumu04 , ungeorodhesha na baadhi ya Hub unazozifahamu ingependeza zaidi.
 
God'sBeliever

JF-Expert Member
Sep 1, 2015
5,820
2,000
Hata site jamai ambayo itatukutanisha wana teknolojia tujadili mambo yetu.
Ila naona JF ni tosha kabisa
 
hero7

Senior Member
Jun 15, 2014
199
225
ila kuna tuhuma nasikia kuhusu buni kwamba uwa somitime mtu anakuja na idea ya jambo jleader wa pale wanenda uza bila kukushirikisha more tha 5 person nimeshakutana nao nikawasikia juu ya hilo jambo sa sina uhakika zidi?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom