wataalam wa ku design templates blog Kama Hii.

wataalam wa ku design templates blog Kama Hii.

CompaQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
281
Reaction score
134
Habari
Ndugu wataalam wa ku design templates za blogger na hitaji tufanye kazi hapa kwa mtu anaeweza kufanya kazi hii.
nimeipenda template hapa na nina penda niweze kuitumia katika blog yangu japo template hii ni aina ya WORDPRESS na Mie nina tumia BLOGGER.

Je inawezekana kuchakachulika na kuitumia katika blogger?

anaejua utaalamu huu karibu

template ninayo hitaji ni hii hapa chini LINK yake
Simpatico – Blog / Magazine WordPress Theme

Na Blog yangu ni hii hapa
www.manyandahealthy.com
 
Jaribu kutafuta template za blogger zipo nzuri nadhan utapata inayokufaa.
Template za blogger ni bei rahisi ($9) kuringanisha na wordpress ($60) kama ukiamua kununua.
 
Jaribu kutafuta template za blogger zipo nzuri nadhan utapata inayokufaa.
Template za blogger ni bei rahisi ($9) kuringanisha na wordpress ($60) kama ukiamua kununua.
asante Ndugu kwa ushauri wako.
 
Njia rahisi ni kubadili iyo blog yako kwenda WordPress kisha uweke iyo theme unayoitaka. Kwa msaada tuwasiliane
 
Back
Top Bottom