hero7
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 220
- 70
habari wakuu unaweza pakua idm latest hapa pamoja na patch yake:https://www.mediafire.com/?7b16wgzxnnahguq
Idm kama unaijulia basi haiwez kukusumbua...natumia idm kila siku ,kikubwa usi update tu ikiomba updatesYa kijinga sana hio app, baada ya week kadhaa itaanza kukwambia fake serial sijui na nini ya kiwakiii...Siku hizi natumia download accelerator ipo tu kama hio ila yenyewe haina upuuzi wa kudaiana key!
Nshatumia for years na hio trick naijua ila once ikianza mapicha ni hadi u format computer ndio ile mesej ya kipuuzi utaacha iona!Idm kama unaijulia basi haiwez kukusumbua...natumia idm kila siku ,kikubwa usi update tu ikiomba updates
Polee mkuu,ila ukipata crack za kina sadeem pc,yani hata ikizingua huitaji kuformat mashine,just unaitoa tu na kuweka tena then unatia patch huitaj hata kuclose from task bar, nafikr unatakiwa upate crack za majamaa wazur kama nlomtaja huyo,hajawah niangusha kweny idmNshatumia for years na hio trick naijua ila once ikianza mapicha ni hadi u format computer ndio ile mesej ya kipuuzi utaacha iona!
ntupie link, mi nlishatumiaga hadi ile njia ya kufanya registry edit ili isinletee ukuda ikafaa walituaminisha it will take forever kuwa full but nayo ikaja anza zingua!Polee mkuu,ila ukipata crack za kina sadeem pc,yani hata ikizingua huitaji kuformat mashine,just unaitoa tu na kuweka tena then unatia patch huitaj hata kuclose from task bar, nafikr unatakiwa upate crack za majamaa wazur kama nlomtaja huyo,hajawah niangusha kweny idm
Poantupie link, mi nlishatumiaga hadi ile njia ya kufanya registry edit ili isinletee ukuda ikafaa walituaminisha it will take forever kuwa full but nayo ikaja anza zingua!
Tumia www.Warez-BB.org, inabidi kujisajiri na unaweza kupata apps zenye "keys" au "cracked" kwenye "apps link"ntupie link, mi nlishatumiaga hadi ile njia ya kufanya registry edit ili isinletee ukuda ikafaa walituaminisha it will take forever kuwa full but nayo ikaja anza zingua!