Msaada tafadhari....

Msaada tafadhari....

Ruheza NS

Member
Joined
Mar 21, 2016
Posts
41
Reaction score
22
Hivi inawezekana Kuzuia mtu asiitembelee blog yangu Bure??.... Namaanisha, watu waitembelee kwa malipo?
 
Mmmh hatar....halaf chief naomba unijuze....nitafaidika vip pale watu watakapoitembelea website yangu na kupakua vitu huko???
 
Blog zote watu hawatembelei bure koz bundle zinahusika
 
Swal langu ni kua hizo bundle zinageukaje faida?
hakuna mahusiano kati ya bundle na mmiliki wa website,

mfano wake ni kama daladala na ada ya shule, ada zinaweza kuwa zimefutwa shule ya msingi lakini haimaanishi wanafunzi wanapanda dala dala bure. pia wapo wanafunzi wanaopewa lift hadi shule (free WiFi, internet za kugongea etc)

sababu wanafunzi wanapanda dala dala haimaanishi shule ikawakabe wenye dala dala na wao wapewe hela
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom