Wataalam msaada wenu ssmsung s4 19500

Wataalam msaada wenu ssmsung s4 19500

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
55,030
Reaction score
59,682
Simu inasumbua chaji sasa sijui niweke betri ingine ama vipi? Yani nachaji usku mzima inajaa lakini ku browrse hata nusu saa haifiki limeisha daaah naikumbuka i phone5s yangu niliyoiuza ..wadau msaada wenunnifsnyeje? Au ndio ssmsung zilivyo?
 
Haipati moto natumia tigo, kwani line ya simu hapa ina matter? Yani chaji inaingia kimagumashi na inaisha kama maji daaah
pengine battery/simu ni mbovu.

ukienda setting then battery angalia Jinsi chaji yako inavyoisha. nini kinakula sana?
 
s4 upande wa betri ni changamoto, mimi ilinitesa sana nitanunua jingine yakawa yaleyale hadi nilipofaulu kuiuza ikawa pona yangu,
 
Back
Top Bottom