telegram app copy and paste ya whatsapp

telegram app copy and paste ya whatsapp

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
8,260
Reaction score
9,747
Bye bye whatzupp ?!
Now introducin new app called TELEGRAM with highspeed msg delivering capable to send files up to 1GB, nd also it features to share Word nd powerpoint files... group capacity 200 people...
To download "Telegram" scroll down..

-

"Telegram (N Edition)"

https://play.google.com/store/apps/details?id=org.telegram.messenger

apk file lake dogo just 8.5mb, inaweza tuma docs file za word na powerpoint.
lakini kimuonekano, mpangilio mpala icones ni whatsapp totaly
 
Aiseee.
Wanafanana kila kitu had background wallpapers,emoji,UI jamaa wamekopi sema wakasanuka kuongezea vitu alivovi-ignore WhatsApp.
'Make Money Nd Fame out of Your fellows weakness'
Jamaa atakuwa anajuta sahii!
 
Na kibongo bongo wengi watahamia telegram maana mimi almost watu wangu wote wa whatsapp wamesha install na wanaenjoy sana.
 
Mm nimependa feature ya kutuma documents siitaji kuwatumia wenzagu docs kwa email tena tunamalizana fasta kwa Telegrama

Lkn

Iko slow kupiga tick ya pili ambayo itakuwa inaffect pia delivery side ya pili
 
Aiseee.
Wanafanana kila kitu had background wallpapers,emoji,UI jamaa wamekopi sema wakasanuka kuongezea vitu alivovi-ignore WhatsApp.
'Make Money Nd Fame out of Your fellows weakness'
Jamaa atakuwa anajuta sahii!

Nadhan kuna copyright issues
 
Mm nimependa feature ya kutuma documents siitaji kuwatumia wenzagu docs kwa email tena tunamalizana fasta kwa Telegrama

Lkn

Iko slow kupiga tick ya pili ambayo itakuwa inaffect pia delivery side ya pili

Tofauti ni hiyo tu ya kupakia na kupakua docs ila vngne vyafanana

By the way nwenyewe nimeipenda hapo tu maana sihitaji ingia kwenyr mail kutuma doca
 
Iko pouwa saaana telegramm nahisi inaweza ikaja kuifunika whatsapp
 
Kipya hakinyemi

Kwa whatsapp bado sana sijui ka wanayo app ya windows,iOs na symbian...kama wamejiami huko kote basi wataweza kumpindia

Hapa Africa wakitaka kutushika ndo Whatsapp wakisema wanalipisha 0.99$ baada ya huo mwaka ndo majanga ya kuikimbia yatakapoanza
Maana we Africans tunataka vya BURE
 
ni warussia mkuu, nimeona ba ya iphone, symbian sijui kama ipo.
sema wamecopy mengi.
 
iko poa kwa hizo features, sema nashindwa kuelewa mechanism yake yakufetch data. nimeshangaa kujiunga tu tayari wana wananichek ambao hata kwenye phonebook yangu hawapo. how is it possible au wanasync na facebook data?
 
It is not as fast as whatsapp and viber on msg delivery
 
Nimeanza kuitumia hii app jana....ipo vizuri.
Whatsapp wajipange
 
iko poa kwa hizo features, sema nashindwa kuelewa mechanism yake yakufetch data. nimeshangaa kujiunga tu tayari wana wananichek ambao hata kwenye phonebook yangu hawapo. how is it possible au wanasync na facebook data?

Mkuu kama ushatumia Viber utaelewa nini kinatokea kila mtu anayejoin a notification is sent kwa watu ambao wana namba yako kua you have just joined Telegram so hao wanapata notification
 
anhaaa,umesomeka mkuu
 
Kipya hakinyemi

Kwa whatsapp bado sana sijui ka wanayo app ya windows,iOs na symbian...kama wamejiami huko kote basi wataweza kumpindia

Hapa Africa wakitaka kutushika ndo Whatsapp wakisema wanalipisha 0.99$ baada ya huo mwaka ndo majanga ya kuikimbia yatakapoanza
Maana we Africans tunataka vya BURE

Hahahaha nimecheka sana huko mwishoni BTW whatsapp ipo platform zote hizo ios, windows mobile, symbian etc etc...
 
Nilimaanisha hawa Telegram wanayo app kila platform kama walivyo whatsapp
Kama telegram hawana basi hawajamfika whatsapp
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom