jaman,nawezaje kujifunza hii frameworks inaitwa codeigniter???
nimeangalia videos zake zote bado cjaelewa.
embu mwenye njia rahis kwa jins gan naweza anza anisaidie jaman
natanguliza shukran zangu
Jamani ninaomba msaada namna ya ku bootload simu yangu ya huawei G535-L11. Niki iwasha inaishia njiani na inaleta message Bootload Failed to Verify. Bootload Status LOCKED. Naombeni msaada nifanyaje
Habarini wakuu..
Kwa wale wataalam naomba mnijuze, je kuna namna ya kutrace # ya mtu ya simu hapa kwetu na kupata exact location?! Kuna mtu kanitapeli hela na sijui wapi pa kumpata.
wakuu nina relay switc nahangaika namna ya kuziconnect ost s 112dm 12 vdc na4078 dc9v shg hii ya volt tisa niki energize coil naisikia ikimake ila nashindwa kuzijua ipi nc and no
Ndugu wana Jf laptop yangu haifunguki kila nikijaribu kuwasha ikifikia kipengere cha WELCOME inaniandikia maneno yafuatatayo.
The application or DLL C/WINDOWS/system32/LSASRV,dll is not...
Wadau nimedownload movies nyingi kwa kutumia simu, sasa ninahitaji zicheze na subtitles na embe ni MWenye kujua atiririke kwa faida ya wengi.
Na tu mia MX Player na kifaa nachoshushia ni simu...
Tujaribu kukimbizana na Dunia nahitaji kuwa hacker naomba uzi huu utumike kunifundisha ili niwe hacker,kwa kuanza nataka nianze kwa kuwa simple hacker nahack vitu vidogo vidogo kama account ya mtu...
Habari wana JF!
Niende moja kwa moja katika lengo.
Hub of innovation ni moja ya vitu muhimu sana ambavyo nchi yetu bado ipo nyuma kwa uwepo wa center hzo. Lengo la uzi huu ni kwamba, nimepata...
Msaaada kwa yeyote anayejua sababu za kupotea kwa memory storage space kwenye simu baada ya ku flash... Aeleze apo na jinsi gan naweza kufanya recovery
Habari ndg zng,
Naomba kusaidiwa app ambayo inatafsiri kwa lugha ya kiingereza kwa mtindo wa subtitles wakati naangalia movies.
Naomba anayefahamu anijuze maana mimi nimetafuta sijaipata.
Msaada...
Wakuu habari za mida hii,nina system ya Bulk Sms Sender ambayo inamrahisishia user au business man kutuma msg kwa customers au staff wote,so nahitaji API provider kama yupo tuwasiliane please.
Nickon camera 3000D inauzwa iko katika hali nzuri, imetumika wiki moja tu.... Specifications zake na picha apoo chini unaweza kucheki... Bei ni Laki7 kamili, Bei inapungua kwa alie serious...
kwa wale watalaam wa ku-hack website na database naitaji msaada wenu, nahisi kuna mtu ananidokolea data zangu kupitia utaalam wa kimtandao, kwa yeyote ambae atakua tayari kunipa msaada na...
Kizuri kula na wenzako.
Kama mnavyojua hivi sasa matumizi ya Adsense network yamekuwa ya shida kwa publishers hasa walio na traffic ndogo sana katika site zao au blog zao.
Mitandao kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.