Nahitaji kujua nini ili niwe Hacker?

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,662
Tujaribu kukimbizana na Dunia nahitaji kuwa hacker naomba uzi huu utumike kunifundisha ili niwe hacker,kwa kuanza nataka nianze kwa kuwa simple hacker nahack vitu vidogo vidogo kama account ya mtu insta,na vitu vingine vidogo vidogo

Mahitaji yake ni nini? Najua google masomo kama haya yapo ila uelewa nao unachangia inabidi uwe mjuzi kidogo na lugha pia!

Najua hapa kuna Mahacker wazuri tuu

Karibuni
 
Kuwa Hacker kuna characteristic moja unatakiwa kuwa nayo ambayo hakuna mtu atakufundisha,na huwa ipo natural(inborn) kwa mtu, "unatakiwa upenda unachofanya" na hii sio kwa computers tu,bali kwa kila jambo.Kama una passion na kitu fulani na hiyo passion ni strong enough kukufanya usome na ujifunze to the point kwamba unaweza fanya icho kitu instinctively,basi that's hacking.

Hacking ni pale ambapo unajikuta upeo wako wakufikiri umebadilika(umeongezeka) unconsciously,actually it means different things in different fields,Kwa computers means kukesha usiku wa manane kujifunza na kufikirisha ubongo wako to the maximum level,kucheki error report zinazokutia kizunguzungu,unaandika na kuandika na kuandika codes,debugging codes zako tena na tena na tena mpaka pale zitapofanya utakacho,, wakati huo kuna party ambayo wadau wako wote wameenda kujirusha ulitakiwa ku attend,Passion ni pale ambapo unajua kabisa codes zako blanda kibao lakini hauchoki kutafuta perfection ya hizo codes.

Kama hauna Passion hiyo kwa computers,HAUTAKUJA KUWA HACKER,never ever!unaweza kuwa Programmer,Computer Scientist,mkali katika field ya IT ila sio hacker.

Kama una Passion,unaweza kua ila sio kazi rahisi ya kulala somebody na kuamka hacker,ili uwe hacker unatakiwa uwe na mindset ya hacker,fikiri kama hacker,katika daily life yetu kuna kila aina ya problems to be solved with hacker's mindset,Hacking sio tu kuhusu kuka mbele ya computer na kutype codes kwa terminal,kuwa hacker unatakiwa uwe logic.Tumia logic na ingenuity kusolve matatizo yako ya kila siku,Fikirisha ubongo wako.

Technically,unapaswa kujua yafatayo ili uwe Computer System Security Guru(ethical hacker(pen tester[white hat]){kuwa black,grey or white is upto wewe,NB:-Kama wataka kuwa Black,andaa na mwanasheria mzuri,itakusaidia baadae :D})

Unatakiwa ujue jinsi Computer Zinavyofanya kazi,Chukulia mfano mtu anayejua jinsi system nzima ya gari ilivyo,jinsi inavyofanya kazi,jinsi engine ilivyotengenezwa na jinsi kazi yake katika gari,mechanism ya gari inavyotembe nk nk,mtu huyu anaweza fanya lolote ilo gari,hata akitaka igeuza kuwa something else anaweza sababu anaijua gari inside out!Hivyo ndivyo Hacker anavotakiwa kuwa,unatakiwa ujue computer system buu baa,,sio lazima uwe expect wa kila kitu ila atleast ujue kila kitu kifanyavo kazi from ,Jinsi inavyo proccess data,inavo store, Peripherals and Communications,OSes,Jinsi Operating Systems zinavo interact na hardware,Networking nk nk nk!Kumbuka,sio lazima uwe expect wa kila kila ila unatakiwa ujue kila kitu,yani kila kitu.

NOTE:Sijakwambia ujifunze programming language,wala ujifunze wireshark inavyofanya kazi wala blah blah nyingine,sababu along the way kujifunza kwako computer system,utakutana na programming na makablasha mengine.
Kama umeiva vilivo,kuhusu computer systems,usingeuliza swali hili,so na assume we ni beginner,Learn it from scratch,Build it,Break it!sio swala la leo na kesho.
 
Uwe umeiva kwenye programming
Then usome system security uwe expert
Baada ya hapo usome basics za encryption na decryption
All in all hacking ni kipaji
Anhaaa sawa mkuu hivyo vyote si ninaweza kujisomea mwenyewe bila kulipia nikipata material tuu
 
Kuwa Hacker kuna characteristic moja unatakiwa kuwa nayo ambayo hakuna mtu atakufundisha,na huwa ipo natural(inborn) kwa mtu, "unatakiwa upenda unachofanya" na hii sio kwa computers tu,bali kwa kila jambo.Kama una passion na kitu fulani na hiyo passion ni strong enough kukufanya usome na ujifunze to the point kwamba unaweza fanya icho kitu instinctively,basi that's hacking.

Hacking ni pale ambapo unajikuta upeo wako wakufikiri umebadilika(umeongezeka) unconsciously,actually it means different things in different fields,Kwa computers means kukesha usiku wa manane kujifunza na kufikirisha ubongo wako to the maximum level,kuchecki error report zinazokutia kizunguzungu,unaandika na kuandika na kuandika codes,debugging codes zako tena na tena na tena mpaka pale zitapofanya utakacho,, wakati huo kuna party ambayo wadau wako wote wameenda kujirusha ulitakiwa ku attend,Passion ni pale ambapo unajua kabisa codes zako blanda kibao lakini hauchoki kutafuta perfection ya hizo codes.

Kama hauna Passion hiyo kwa computers,HAUTAKUJA KUWA HACKER,never ever!unaweza kuwa Programmer,Computer Scientist,mkali katika field ya IT ila sio hacker.

Kama una Passion,unaweza kua ila sio kazi rahisi ya kulala somebody na kuamka hacker,ili uwe hacker unatakiwa uwe na mindset ya hacker,fikiri kama hacker,katika daily life yetu kuna kila aina ya problems to be solved with hacker's mindset,Hacking sio tu kuhusu kuka mbele ya computer na kutype codes kwa terminal,kuwa hacker unatakiwa uwe logic.Tumia logic na ingenuity kusolve matatizo yako ya kila siku,Fikirisha ubongo wako.

Technically,unapaswa kujua yafatayo ili uwe Computer System Security Guru(ethical hacker(pen tester[white hat]){kuwa black,grey or white is upto wewe,NB:-Kama wataka kuwa Black,andaa na mwanasheria mzuri,itakusaidia baadae :D})

Unatakiwa ujue jinsi Computer Zinavyofanya kazi,Chukulia mfano mtu anayejua jinsi system nzima ya gari ilivyo,jinsi inavyofanya kazi,jinsi engine ilivyotengenezwa na jinsi kazi yake katika gari,mechanism ya gari inavyotembe nk nk,mtu huyu anaweza fanya lolote ilo gari,hata akitaka igeuza kuwa something else anaweza sababu anaijua gari inside out!Hivyo ndivyo Hacker anavotakiwa kuwa,unatakiwa ujue computer system buu baa,,sio lazima uwe expect wa kila kitu ila atleast ujue kila kitu kifanyavo kazi from ,Jinsi inavyo proccess data,inavo store Peripherals and Communication,OSes,Jinsi Operating Systems zinavo interact na hardware,Networkingnk nk nk!Kumbuka,sio lazima uwe expect wa kila kila ila unatakiwa ujue kila kitu,yani kila kitu.

NOTE:Sijakwambia ujifunze programming language,wala ujifunze wireshark inavyofanya kazi wala blah blah nyingine,sababu along the way kujifunza kwako computer system,utakutana na programming na makablasha mengine.
Kama umeiva vilivo,kuhusu computer systems,usingeuliza swali hili,so na assume we ni beginner,Learn it,Build it,Break it!sio swala la leo na kesho.
Hapo nimekuelewa mkuu ni kweli mimi ni biginer so sijui chochote lakini kwa kuanza nitajitahidi kuwa mfuatiliaji ili nifanye kila linalowezekana nijue!
 
Kuna jamaa mmoja wa Kenya alihack mtandao flani yaani ndani ya dk kumi bila kujulikana! utajulikana pale tu utakapo badilisha vitu kama passward au mafail! Ni kama kipaji mtu anazaliwa nacho unaskia mtoto wa Marekani/Russia miaka 15 ameiba $ bank kwa kompyuter
 
Kwa ushauri wangu nakushauri hizo ndoto za kuwa hacker ziache kabisa, kwenye movies huwa wanatudanganya sana pale ambapo hacker anadukua system within seconds Tena kwa kutumia 3d GUI interference kiukweli ni kwamba hackers wanaweza tumia hata weeks kuhack kitu na wao ni mwendo wa command line interference at many times, kitu kingine ukihack kitu kujisifia mbele ya umma ni kazi maana ni illegal tofauti na programming ambayo ukibuni kitu waweza jisifia Mbele ya umma bila kuhofia chochote, anyway ili uwe hacker itabidi uelewe kiundani languages kama php, mysql, html, JavaScript, c++, n.k na ukizielewa hizo language waweza zitumia kudevelop vitu ama kuhack
 
Umepotosha dhana nzima ya terms "Hack/Hacker/Hacking"!

Labda nikuulize,unaelewa nini kuhusu Hacking??,na unamaanisha nini uliposema "3d GUI interference"
 
Umepotosha dhana nzima term "Hack/Hacker/Hacking"!

Labda nikuulize,unaelewa nini kuhusu Hacking??,na unamaanisha nini uliposema "3d GUI interference"
Hizo terms hazifanani jombaa usiweke slash / maana hack ni verb hacker ni mtendaji na hacking ni process ya kudukua

Pale hollywood wanasemaga the Rule of Cool must always overwrite reality hii hutumika kuongeza mauzo ya tickets na ndo hapo hata ile movie ya master minds hacking ikageuka kuwa some sort of game !! Seriously mtu aliekuwa na ndoto za hacking angefikiri ni kazi rahisi na hasa pale wanapohack kwa kutumia os zenye 3d GUI kama ile ya windows vista flip 3d
 
Back
Top Bottom