sio salama sana kutumia kiswahili tumia template za code nirvana kama hizi www.masamablog.com au tempalte hii www.lifali.blogspot.com ukikwama ni p.mKama kichwa cha habari kinavyojieleza,naomba msaada wa namna ya kuweka adsense ads katika blog yenye content ya kiswahili
Natanguliza shukrani