happymsafi
Senior Member
- Jul 4, 2016
- 100
- 84
kwa anayefahamu naomba mnielekeze ninaingiza vipi subtitles zangu mwenyewe kwenye video? asanteni sana
mbona siioni hiyo link?Fata hyo link itakueleza kila kitu
Naiweka hapa inakataaa...nipm nikurishie whatsapmbona siioni hiyo link?
unaweza ukanitajia moja ya hizo software? me nimejaribu na movie maker haikubaliUnaweza kutumia Video editing software yoyote kuweka subtitle kwaku import video yako.@happymsafi
unaweza ukanitajia moja ya hizo software? me nimejaribu na movie maker haikubali
asante sana, ngojea niijaribu kama itakubaliTumia Adobe primer pro CS6.
usijali...Ulete mrejesho
imekataa inaniambia no results found!Ulete mrejesho
Kaka unatumia VLC player au?imekataa inaniambia no results found!
ndiyo, natumia VLC playerKaka unatumia VLC player au?