Singidan
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 878
- 945
Habari wana JF!
Niende moja kwa moja katika lengo.
Hub of innovation ni moja ya vitu muhimu sana ambavyo nchi yetu bado ipo nyuma kwa uwepo wa center hzo. Lengo la uzi huu ni kwamba, nimepata idea ya kuanzisha HUB YA UBUNIFU KWA KUTUMIA TECHNOLOGY mkoani Morogoro. Hub hii itakuwa kituo cha ubunifu ambacha itakuwa yenye kukutanisha vijana wenye mawazo ya ubunifu na wajasiliamali wa teknolojia. Hivyo, mimi nahitaji kushirikiana na vijan wngn wenye mtazamo huo tuanzishe hub hyo.
ENEO:Morogoro town/KILOSA. NAHITAJI WATU 5 Wawe ndani ya mkoa.
Tuwasiliane 0673114461