App inayoweza kuleta subtitles

App inayoweza kuleta subtitles

foreign er

Member
Joined
Jul 19, 2016
Posts
81
Reaction score
27
Habari ndg zng,
Naomba kusaidiwa app ambayo inatafsiri kwa lugha ya kiingereza kwa mtindo wa subtitles wakati naangalia movies.

Naomba anayefahamu anijuze maana mimi nimetafuta sijaipata.
Msaada jamani hata mwenye link anipatie niitafute
 
Download vlc media player then utaenda sehem pameandikwa view,, chin kabisa utaona pameandikwa download subtitle,kama umeweka movie italeta subtitle,,
Unataka kwenye simu au PC??
 
Au download BS Player hii ukiplay movie nd uki turn on internet connection kwenye pc i.e wifi or modem inadownload moja kwa moja.
 
Mm ilikuwa inanisumbua ila kuna namna ya ku improvise....sio lazma hd utumie apk kupata subtitle...tatizo nashimdwa iweka hyo video humu so n pm nikurushie
 
Back
Top Bottom