msaada namna ya kuunga relay hizi

skull

Senior Member
Aug 18, 2016
157
104
wakuu nina relay switc nahangaika namna ya kuziconnect ost s 112dm 12 vdc na4078 dc9v shg hii ya volt tisa niki energize coil naisikia ikimake ila nashindwa kuzijua ipi nc and no
 
Picha ya relay hizo apo
 
Attachments

  • 1476120862869.jpg
    1476120862869.jpg
    30.9 KB · Views: 54
  • 1476120877785.jpg
    1476120877785.jpg
    11.4 KB · Views: 49
Ktk hii Relay ya njano naona Ina terminal 5 mbili ni supply kwakuwa ni Dc lazima wame indicate polarity Negative na positive.hakikisha unakuwa makini usi reverse unapo connect.Hizo terminal 3 zilizo baki moja ni common,nyinine nomal close na nyingine ni nomal open.
 
wakuu nina relay switc nahangaika namna ya kuziconnect ost s 112dm 12 vdc na4078 dc9v shg hii ya volt tisa niki energize coil naisikia ikimake ila nashindwa kuzijua ipi nc and no
iyo ya blue..terminal2 zilizojitenga ni za coil..2 zingine ni NO amna NC apo...hii ya njano terminal 2 zilizojitenga ni za coil...izo 3 zilizobaki ni common,NO na NC....normally ya kati ni common..kama una mita..tune kwa "continuity MODE" then pima..kujua ipi NC au NO
 
Ktk hii Relay ya njano naona Ina terminal 5 mbili ni supply kwakuwa ni Dc lazima wame indicate polarity Negative na positive.hakikisha unakuwa makini usi reverse unapo connect.Hizo terminal 3 zilizo baki moja ni common,nyinine nomal close na nyingine ni nomal open.
Mkuu je common ktk hio relay ya blue ni ipi maana terminal mbili ni coil na mbili ndio umesema No na NC
 
Back
Top Bottom