Msaada - kutrack # ya simu

Msaada - kutrack # ya simu

Dr Lizzy

Platinum Member
Joined
May 25, 2009
Posts
31,010
Reaction score
60,481
Habarini wakuu..

Kwa wale wataalam naomba mnijuze, je kuna namna ya kutrace # ya mtu ya simu hapa kwetu na kupata exact location?! Kuna mtu kanitapeli hela na sijui wapi pa kumpata.
 
Mkuu je unakibali cha kufanya hio shughuli yako? Kama unacho ni Pm tujue pakuanzia
 
Back
Top Bottom