Habari wana JF, Poleni Watafuta kazi wenzangu.
Baada ya poyoyo mbili tatu nazizipiga humu mtandaoni pamoja na kitaa lakini maisha
yanazidi kukaba wakuu,Ukweli unabidi usemwe ila hiyo sio case...
Tuwafikie Tanzania tunatoa nafasi za kazi ya muda ya waalimu watakaofundisha uanzishaji na uendelezaji wa saccos, vicoba na ngo kwa Mkoa wa Mwanza.
Waalimu hawa watapata nafasi ya kufundisha...
Tuwafikie Tanzania tunatoa nafasi za kazi ya muda ya waalimu watakaofundisha uanzishaji na uendelezaji wa saccos, vicoba na ngo.
Waalimu hawa watapata nafasi ya kufundisha walengwa ambao...
Taasisi isiyokuwa ya kiserikali ya Tuwafikie Tanzania inatangaza nafasi ya kazi ya mtu ambaye anaweza kuandaa tukio maalumu kwa ajili ya kutunisha mfuko (fund raising) kwa ajili ya mradi wake wa...
Taasisi isiyokuwa ya kiserikali ya Tuwafikie Tanzania, inapenda kuwakaribisha wakazi wa Mwanza katika mafunzo maalumu ya ujasiriamali yatakayofanyika kuanzia tarehe 16 disemba.
Mafunzo...
me ni kijana nliemaliza form four mwaka huu,so nko nyumban 2u ningeomba kwa anayejua kampun yeyote inayotafuta wafanyakaz aniambie coz nmechoka kukaa Idle mno!
Wapendwa, habari zenu!
Poleni na majukumu....
Mwezi ulopita nilifanya usaili wa kuandika (written interview) huko hindumandal hospital na tukaambiwa tutaitwa kwa ajili ya usaili wa kuongea (oral...
Heshima wakuu. Mimi ni mhitimu wa shahada ya kwanza ya uhasibu natafuta nafasi ya kazi au ya kuvolunteer. Ni msichana, nipo Dar. Kwa anayeweza kunisaidia aniPM tafadhali. Shukrani sana.
Habarini wakuu..Nianze kwa kumshukuru Mungu kwa Neema zake.Nimekuwa katika mchakato wa kutafuta kazi wakuu, na nimekutana na changamoto kadhaa ningependa tushare kwanza suala la kujuana limenikuta...
Habarini ndugu zangu..nimeombwa ushauri na mimi pia nawaombeni ninyi ushauri...kuna binamu yangu aliyehitimu IFM 2010 fani ya accountancy...baada ya kula msoto wa muda mrefu amepata ajira...
Habari wana JF!
Mimi ni msichana natafuta kazi ya ya Hotel Receptionist au Office Secretary..Kwasasa sina kazi lakini nahamini kupitia hapa nitapata kwa watu wote wawezeshaji naomba mnisaidie nina...
habarini wanajf.jamani binafsi sina amani kutokana na kutokuwa na kazi mda mrefu. hivyo niko tayari hata kununus kazi. kazi zimekuwa ngumu sn hasa kama hauna mtu unayemfahamu katika system. kwa...
Niko hapa tangu saa tatu kasoro kumi na tano interview ndo imeanza saa nne kamili hivi hawa waajiri wanadhani si hatuna mambo mengine ya kufanya yaani hapa sielewi elewi kabisa hawa jamaa wa dira...
Ni moja ya kampuni zinazokuwa kwa kasi na vijana wake wapo smart sana,unaweza ukapata nafasi ya kazi kwani bado wanahitaji watu hivyo sio mbaya ukipitisha cv yako. Wapo kijitonyama pale sayansi
kwa mfano how is Facebook owners get profit...?? unajua sisi tunatumia tu facebook free but there are some people enjoying profits for our free using ...do you know how??? This is how they make...
There are many reasons why these graduates can't get a job. The 7 reasons why college grads can't get a job are:
1. Unrealistic expectations: Students getting degrees have the expectation that...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.