Nafasi ya kazi ya kuandaa harambee ya kutunisha mfuko


bereng

bereng

Senior Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
114
Likes
0
Points
33
bereng

bereng

Senior Member
Joined Feb 5, 2013
114 0 33
Taasisi isiyokuwa ya kiserikali ya Tuwafikie Tanzania inatangaza nafasi ya kazi ya mtu ambaye anaweza kuandaa tukio maalumu kwa ajili ya kutunisha mfuko (fund raising) kwa ajili ya mradi wake wa ujenzi wa maktaba za kijamii.

Tunahitaji watu wenye sifa na uzoefu watume maombi wakiambatanisha wasifu wao kwenye anwani ya barua pepe: tuwafikiemwanza@gmail.com.
Mwisho wa kutuma maombi ni tar 15 disemba 2013.
Maombi kwa wakazi wa Mwanza yatapewa kipaumbele.
 

Forum statistics

Threads 1,236,301
Members 475,050
Posts 29,253,377