Wazee wa Box

Emma Lukosi

JF-Expert Member
Jul 22, 2009
929
147
Habari wana JF, Poleni Watafuta kazi wenzangu.

Baada ya poyoyo mbili tatu nazizipiga humu mtandaoni pamoja na kitaa lakini maisha
yanazidi kukaba wakuu,Ukweli unabidi usemwe ila hiyo sio case.
Husieni na kichwa habari hapo juu elimu ya kuombea maji ninayo, Passport ninayo
na nauli pia ninayo jamani nataka kutest zali huko ughaibuni hata kuja kuzoa taka.
mwenye kuelewa michakato jamani naomba msaada wenu

Naona Kama Vijana Tumekanyaga waya kuishi hizi inji za ulimwengu wa 3.
Uki ni PM itafaa au ukitiririka hapa hapa nayo njema tu najua hii ndio mida yenu wazee wa box.
 
Mambo ya kuzoa taka yalikuwa zamani siku hizi waafrika wanafanya kazi nzuri tu ughaibuni,kazi za nje ni rahisi sana kuzipata kulizo ata Bongo,unatakiwa kujua njia tu na kazi gani una ujuzi nayo,jua website nk
 
Wasikudanganye mambo yamebana sana huko nje kutokana na uchumi,siyo kama zamani.
 
Nakuunga mkono kaka hata mimi naona ni bora tuhangaike tu na kazi nje ya nchi,maana hapa kimbembe kama kazi wanapewa watoto wa vigogo sisi watoto wa wakulima wacha tuchape lapa tuwaachie nchi wenyenayo!
 
Mambo ya kuzoa taka yalikuwa zamani siku hizi waafrika wanafanya kazi nzuri tu ughaibuni,kazi za nje ni rahisi sana kuzipata kulizo ata Bongo,unatakiwa kujua njia tu na kazi gani una ujuzi nayo,jua website nk

Dawa twende huko huko Matunda yanapotoka.
 
Mambo ya kuzoa taka yalikuwa zamani siku hizi waafrika wanafanya kazi nzuri tu ughaibuni,kazi za nje ni rahisi sana kuzipata kulizo ata Bongo,unatakiwa kujua njia tu na kazi gani una ujuzi nayo,jua website nk

Tukiipata hiyo web na other information itasaidia sana vijana.
 
Aisee,wandugu nje ni hatari bora hapa ndani unaweza hata pewa maji na ukachuma mchicha. Lakini tusivunjane moyo nenden mkatest zali. Mie nimerudi tubanane hapa hapa kwa Nyerere.
 
Watanzania wavivu na wabinafsi wanaona misifa kukaa ughaibuni peke yao, wakenya wako fast and wanashirikiana sana, mmoja akienda ng'ambo atapiga madili na wenzake kibao wanaenda huko na kuchuma madolari na ma euro na kukuza uchumi wa kwao..can u imagine UK peke yake kuna wakenya zaidi ya laki tatu wakati watanzania hawazifiki hata elfu kumi na tano...tubadilike tuache ubinafsi na ushamba wa kizamani
 
Viongozi wao wapo sharp sana,wanapofanya safari za nje wanaingia na mikataba ya kazi pia,mfano wakati Etihad airways inafunguliwa ilikuwa na wakenya zaidi ya mia mbili..Sisi viongozi wetu wanakwenda kutembea tu
 
umenena vyema,wakenya ni smart sana,wanajua kuchangamkia fursa hata wanigeria pia,ila sisi sijui kwanini usingz hauish
 
Maisha popote kaza Kamba mshkaji ukiona sehem kuna kaba jaribu kungine! Ukifikisha 40yrs hakieleweki nunua bible au msaafu na kanzu safi itafute pepo!!
 
Watanzania wavivu na wabinafsi wanaona misifa kukaa ughaibuni peke yao, wakenya wako fast and wanashirikiana sana, mmoja akienda ng'ambo atapiga madili na wenzake kibao wanaenda huko na kuchuma madolari na ma euro na kukuza uchumi wa kwao..can u imagine UK peke yake kuna wakenya zaidi ya laki tatu wakati watanzania hawazifiki hata elfu kumi na tano...tubadilike tuache ubinafsi na ushamba wa kizamani
Mkuu ubalozi wetu si upo huko UK. Wabongo wanaweza wasiliana na hizo balozi zetu za nje na maafisa wetu ubalozini watawapigia michongo ku kutimkia ughaibuni.
 
tatizo ukipiga kaz nje ukaendekeza starehe uwez save pesa sababu starehe gharama sana. ila nje kazi zimejaa lakin inabid usiwe mtu wa kuchagua kazi.

ila kama una kazi nzuri na una uhakika wa kuwa na ata million 2 au 3 plz usije ng'ambo. ila kama umepigika hauna direction karibu.
 
Utakwenda kama mtalii au, kama ndivyo je unafahamu unahitaji work permit kufanya kazi? Hata huko kwenye nyumba za kutawaza wazee nako ni hivyo hivyo.

Wakwenya ni kweli hawachagui kazi, unakuta mtu ana PhD yuko nyumba ya vizee anawaogesha - ebo si bora ubaki kwenu ufundishe.
 
Karibu vp mkuu?!, ndio haya mambo tunayo yakataa. Sisi tuko gizani huko mbele tunapaona kwenye tv,
Tiririka data zote tujue pa kuanzia kama uko huko ughaibuni.
 
Utakwenda kama mtalii au, kama ndivyo je unafahamu unahitaji work permit kufanya kazi? Hata huko kwenye nyumba za kutawaza wazee nako ni hivyo hivyo.

Wakwenya ni kweli hawachagui kazi, unakuta mtu ana PhD yuko nyumba ya vizee anawaogesha - ebo si bora ubaki kwenu ufundishe.
Bora kua mbwa ulaya nini kutawaza wazee. Usawa huu Pay ndio mpango mzima.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom