Uanzishaji & uendelezaji wa saccos & ngo.

bereng

Senior Member
Feb 5, 2013
114
170
Tuwafikie Tanzania tunatoa nafasi za kazi ya muda ya waalimu watakaofundisha uanzishaji na uendelezaji wa saccos, vicoba na ngo.

Waalimu hawa watapata nafasi ya kufundisha walengwa ambao watakuwa waratibu wa mradi wa WEZESHA MJASIRIAMALI unaoratibiwa na taasisi wenye lengo la kuwapatia wajasiriamali mafunzo pamoja na kuwawezesha kupata mikopo nafuu kupitia saccos zitakazoundwa kila wilaya ktk mkoa wa mwanza. Maombi yatumwe kwa meneja wa mradi kwa baruapepe- tuwafikiemwanza@gmail.com. Mwisho wa kutuma maombi ni tar 12 disemba 2013.

Aidha kuna nafasi za mafunzo haya kwa wanaohitaji, ili kujipatia ujuzi lakini tutakuwa na nafasi za ajira kwa wahitimu watakaofanya vizuri kuwa waratibu wa mradi ktk wilaya watakazopangwa.
Mafunzo ni ya siku 5 na yatafanyikia mjini mwanza kwa gharama nafuu sana. Fomu za ushiriki zinapatikana kwa tsh. 5,000. Watakaopata nafasi za kazi watarudishiwa sehemu ya gharama za mafunzo. Mwasho wa maombi ni tar 15 disemba 2013.
Kujiunga piga simu kwa meneja wa mradi namba 0768 955 185. Au email- tuwafikiemwanza@gmail.com
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom