Pate_15
Senior Member
- Oct 26, 2013
- 156
- 48
Wapendwa, habari zenu!
Poleni na majukumu....
Mwezi ulopita nilifanya usaili wa kuandika (written interview) huko hindumandal hospital na tukaambiwa tutaitwa kwa ajili ya usaili wa kuongea (oral interview) sasa naona kimya, tafadhari kama kuna yeyote ambaye alihusika au ana taarifa yeyote anijuze tafadhari.