Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Mambo vipi wana JF, Kampuni mpya ya modeling & entertainment imefunguliwa nchini na tumeanza recruitment ya models. Zifuatazo ni sifa tunazohitaji Wanawake Umri kati ya miaka 18 na 28 Awe...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau nimepata email leo tarehe tano interview (written tarehe 10/12) kwa mwenye clue za interview za hawa jamaa atusaidie, natanguliza shukrani
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuna nafasi mbili za kazi ya Marketing and Administration Executive. Details zote zinapatikana kwenye attachment. Kila la kheri.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
SERIKALI inatarajia kutoa ajira 800,000 kwa vijana kuanzia mwakani kuliwezesha kundi hilo kuondokana na utegemezi katika jamii na kuchangia uchumi wa nchi. Akizungumza Dar es Salaam jana...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari za leo wadau wa jamii forum. jamani natafuta kazi, hata ya kujitolea kwa muda( volunteers) katika taasisi yoyote ile, nimesomea fani ya Rasimali watu (human resources) ngazi ya shahada...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
I have an opening for a fluent English speaking lady.She should be hardworking,charming,attractive,college educated and ready to be trained with an international restaurant.please email your cv...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Tunaomba alofanikiwa kuona majina ya walofaulu interview ya FINANCE OFFICER TPDC aturushie hapa maana hiyo website waliotupa wala haitaki kufunguka.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nilimpeleka jamaa yangu Msimbazi Centre kufanya usaili wa TPDC...ameingia alfajili kutoka Sengerema Mwanza,baada ya kumfikisha niluenda zangu job kwa makubaliano ya kumfuata akitoka ktk usaili...
1 Reactions
33 Replies
7K Views
Company: The Guardian Limited Posted on: Wednesday, 27 November 2013 Deadline...
0 Reactions
0 Replies
963 Views
Taasisi isiyokuwa ya kiserikali ya Tuwafikie Tanzania Organisation kupitia mradi wake wa WEZESHA MJASIRIAMALI inatoa nafasi za ajira nafasi ya Mratibu wa mradi katika Wilaya za Nyamagana, Ilemela...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
SEMINA YA UJASIRIAMALI KWA WAKAZI WA MWANZA Napenda kuwafahamisha kwamba CPM Business Consultants, yenye makao makuu jijini Dar es salaam, ikishirikiana na Tuwafikie Tanzania tawi la Mwanza...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nawatafuta wakusanya madeni - debt collector / brokers Wakuu salama ? naomba msaada wa haraka kuwapata licensed brokers au madalali wenye leseni maalum kwa kukusanya madeni kwa kulipwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jobmakini Link (T) Limited (Jobmakini), Brings a unique way of fulfilling Clients needs in the world of Services of agent of manpower search and business consultancy. The Services which provide...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Excel Outsourcing and Management company is Looking forward to Hire Cargo Specialist for Dare salaam Office. Responisbilities: The position will be responsible for handling cargo and inland...
0 Reactions
0 Replies
986 Views
Wameniita kwenye interview na hawa jamaa wa gazeti la dira ya mtanzania position ni sales Person .....naomba information kidogo kuhusu hii media wadau nafahamu tu ipo chini ya msama production...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
I am a professional PA/ ADMINISTRATOR with an experience of ten years, I am now looking for job, Please contact me through 0787280130. Thanks.
0 Reactions
0 Replies
884 Views
Taasisi ya tuwafikie kupitia mradi wake wa wezesha mjasiriamali inatangaza nafasi za walimu wa ujasiriamali Mkoani Mwanza wenye ujuzi wa kati ya mambo yafuatayo:- utengenezaji wa bidhaa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
ATTENTION JOB SEEKERS!!!!!!!!! We are excited to announce the launch of CVPEOPE AFRICA.COM in Tanzania CV People Africa was established in 1992, CV People Africa provides recruitment services...
1 Reactions
0 Replies
6K Views
napenda kufanya kazi na kampuni au kundi la watu wanahisika na mambo ya video production,mimi ni mtunzi na muandishi wa script contact makeharder800@gmail.com
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanajamvi naombeni kwa anayejua kuhusu wizara ya kilimo,kuna mtu kaniambia kua wizara ya kilimo imeshapata kibali cha kuajili maafisa ugani wapya,sasa ningeomba uthibitisho kwenu wana jf maana...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom