Wanandugu,
kutokana na suala hili la uhaba wa ajira, makampuni na mashirika mbalimbali yamekuja na namna mpya ya kuwanyonya zaidi watanzania.
Siku hizi nafasi zinazotangazwa ni volunteer...
Ndg wanaJamiiForum.
Sitokaa niombe tena kazi uhamiaji, kwasababu ajira zenyewe wanapeana na sio kistaharabu ni kwa dharau na kutuonesha watanzania tusiokuwa na ndugu uhamiaji hatuna chetu.
Hamna...
Wana jamvi, kuna mtu kaniuliza nimekosa majibu, hope atapata hapa.. anafanya kazi mahala fulan mshahara wake take home ni 650,000,.Ofice hy ya muhindi amezuia wafanyakazi kukopeshwa kabisa, wana...
We are about to start a business and we need an ambitious lady to run the new office with the following qualifications;
Age 22-25
Diploma or degree holder
single
Can speak English fluently...
Wakuu.
Kuna watu ambao wanataman kuwekeza katika kilimo ila kutokana na majukumu mengi wanashindwa kusimamia, mimi napenda kuwasaidia watu wa namna hiyo, ni hivi kila ekari unanipa tsh lak 4...
Senior Operation Manager Job at World Vision TanzaniaReports to: Integrated Programs Director
Location; Head Office
Purpose of the position:
To provide Leadership and technical support to...
Employment Opportunity: Electrical Maintenance Manager
Our client, Mingoyo Sawmill Company Limited, a privately held company in East Africa, is looking for an Electrical Maintenance Manager to...
Nimeajiliwa toka mwaka 2012, mimi ni mbunifu majengo by profession, kazi ninayofanya ni ya profession yangu kwa asilimia ndogo lakini inahusika sana na mambo ya marketing.
Toka nimeanza kazi...
WanaJF hii Bodi ya ajira inaanza majukumu yake lini maana yake TUCTA wametutosa wafanyakazi wamegeuka Chama cha siasa,wafanyakazi tunateswa sana na tofauti ya Mishahara serikalini haiwezekani...
NAFASI YA KAZI (KWESINE INSURANCE AGENCY LIMITED)
Tunayo fursa ya kutangaza nafasi ya kazi, fursa hi ni kwa mtu yoyote aliyemaliza cheti katika masomo ya BIMA na kufaulu katika chuo...
Urgently recruiting!
Qualifications
 A Degree in a business related field
 A minimum of 2 years experience in sales preferably in a Banking, Insurance or Micro Finance...
Habari za usiku wadau? Nimeitwa Finca Bank kwa ajiri ya oral interview, post ni credit relationship officer! Jaman naombeni kujua interview na payment scale za hawa jamaa!
Natafuta watu 20 ambao ni wachapa kazi wa kufanya nao kazi katika kampuni yangu watu ambao wako tayari kupokea muongozo na kuufanyia kazi ipasavyo, watu ambao wako tayari kujiajiri, kujikwua...
Habari za asubuhi wana jukwaa?
Anayewajua hawa watu wanaitwa "Freedom Recruitment" naoma anijuze wakoje, wanafanyaje kazi zao na wanaaminika kiasi gani. Nimetumiwa written interview na hawa jamaa...
Habari zenu wandugu.
Kuna wifi yangu nimeona jina lake ameitwa kwenye interview tarehe 7 huko Dar wizara ya afya na ustawi wa jamii..Ndo kwanza amejifungua jana tena kwa kisu sasa jamani naombeni...
Niliwahi kufanya kazi halmashauri lakini nikaondoka bila kuaga. Sasa natamani kurudi serikalini lakini kila nikiomba siitwi. Hivi tatizo hapa ni nini au jina langu bado linasoma kwenye kompyuta za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.