Ajira kwa waliosomea maswala ya bima

Tirus

Member
Nov 9, 2010
50
0
NAFASI YA KAZI (KWESINE INSURANCE AGENCY LIMITED)
Tunayo fursa ya kutangaza nafasi ya kazi, fursa hi ni kwa mtu yoyote aliyemaliza cheti katika masomo ya BIMA na kufaulu katika chuo kinachotambulika na serikali ya Jamihuri ya Muungano wa Tanzania.
Wadhifa:MANAGER
Idadi Ya watu:Nafasi moja (1)
Malipo:ya kuridhisha(Competetive salary)
Eneo la Kazi:Bariadi-Simiyu na Kanda ya ziwa

SIFA ZA MWOMBAJI:

1. AWE NA ELIMU YA NGAZI YA CHETI NA KUENDELEA KWENYE MASWALA YA BIMA
2. AWE NI RAIA MWEMA NA ASIYE NA KESI YOYOTE YA JINAI
3. AWE NI MTU WA KUJITUMA NA KUJISIMAMIA MWENYEWE
4. AWE NA AKILI TIMAMU
Wahi sasa nafasi ni chache (First come First serve)
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 20/06/2014
Tuma maombi yako kwa anuani hapo chini, AU wasiliana nasi kwa maelezo zaidi -0756-027849 ,0763997755,0768684790,

Tunakutakia Mafanikio mema.

MWANDIKIE:MKURUGENZI MTENDAJI
KWESINE INSURANCE AGENCY LIMITED
S.L.P 156 BARIADI-SIMIYU
E-MAIL:mnyambuenterprises@yahoo.com
 

kioju

JF-Expert Member
Apr 28, 2014
804
250
Na aliesomea sheria alafu amesoma sheria inayohusu maswala ya bima?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom