Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Mimi ni miongoni mwa waliobahatika kuitwa kwenye interview na Ofisi za sekretariet ya ajira katika fani ya Social Welfare itakayofanyika Mwalimu Nyerere Memorial Academy-Kivukoni. Naomba msaada...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
jamani naomba kuuliza ! hilo tangazo la kuitwa kwa usahili secretarit ya ajira nafac za kazi zilitangazwa lini??
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wanajamvi kuna mwenye updates kutoka NEMC kuhusu application zilizofanywa juu ya kuwatambua EIA/EA experts! Thanks as always.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wapendwa, mimi ni binti wa miaka 22, nipo Arusha. Nina uzoefu wa miaka miwili ya kufanya video shooting and editing. Kwa sasa Natafuta kazi Hiyo. Tafadhali msaada
0 Reactions
8 Replies
2K Views
ajira.go.tz
0 Reactions
0 Replies
2K Views
We are looking for motivated individuals to join our dynamic team part time or full time to make extra income for a better life. We are looking for 20 people, whom we will train, coach and mentor...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Baada ya kutolewa majina kwa ajili ya usaili leo ya ma kostebo na ma koplo na majina yao kuwekwa na namba za simu matapeli wameanza kupiga simu na kuomba uwepe chochote akusaidie ufaulu usahili...
4 Reactions
11 Replies
3K Views
Greetings. Please be informed that presentation for the forthcoming Graduates project will be conducted tomorow - Monday 26.5.2014 starting at 6.00pm to 8 pm at Makumbusho Kijitonyama within the...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
naomba anayejua mshahara wa operational officer katika kampuni ya OLAM anijuze. Hapa Bukoba wametangaza hizo nafasi na zipo kwenye notice board ya jengo la nssf karibu na kituo kikuu cha polisi...
1 Reactions
20 Replies
12K Views
DHAMANA YA AJIRA: Waziri wa Kazi na Ajira, G. Kabaka kwa kushirikiana na benki ya CRDB, awataka wasomi kuweka vyeti vyao dhamana ili kupata mkopo wa ajira CRDB.Mwenye uelewa na hili atujuze mana...
0 Reactions
39 Replies
9K Views
Wadau naomba mtu anijuze kwani application online ile sehemu ya meseji huwa inatakiwa kuandika nini? mfano unakuta form unajaza jina, email, unaaplod CV, n.k then kuna sehem inayotakiwa kuandika...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani mwenye kujua kuhusu update za tbs anijuze. Kwa sababu nimesubiri mpaka basi. Msaada tafadhali.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wadau niko mjini Dodoma natafuta kazi ya aina yoyote ile. Nina degree ya Uchumi ! Mawasiliano: 0713294699
0 Reactions
21 Replies
8K Views
changamkia deal fasta!!!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Employment Opportunity: Senior Techno-Commercial Sales Professional Our Client CATS (T) Limited is a 47 year old and well established hardware, solutions and training based IT Company based in...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani kuna mtu yoyote aliyeitwa kwenye interview na hao jamaa? maana walitoaga nafasi naona mpaka sasa kimiya
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa wale wanaohitaji wataalam wa maabara (Medical Laboratory Technologists) Tuwasiliane kwa 0787734466 au 0763840456.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habar wana JF, kama kuna mwenye experience ya interview na Access Bank kwa loan officer position naomba anisaidie ni vitu gani muhimu kujua au maswali waliyoulizwa ili niwe na idea. Thank you in...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mimi ni kijana niliyehitimu chuo kwa digrii ya sanaa na filamu, kwa mtu yeyote binafsi au kampuni anayehitaji kufanya kazi na mimi za -Video editing -Audio editing -Radio drama profuction -Camera...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wale walioomba nafasi za kazi idara ya wanyamapori na wakala wa misitu majina yametoka yapo PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT - PSRS
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Back
Top Bottom