Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Eneo Msasani: Kuna restaurannt ipo masaki shoppers plaza anatafutwa fundi wa kufix speaker 2 ambazo hazifanyi kazi, :so kama wewe ni professionall wasiliana na hawa jamaa namba zao hizi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wanaJF, Nina dada yangu anatafuta kazi yoyote ya halali itayoweza kumwingizia kipato kitakachomwezesha kujikimu kimaisha. Ana elimu ya kidato cha nne pamoja na Basic certificate ya...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Greetings Re: IT Officer Vacancy Thank you for your application for the above...
0 Reactions
40 Replies
8K Views
Wadau tume ya mahakama imetoa majina mengi kwa walioomba nafasi mbalimbali. Someni mwananchi ya Leo kuona NA kujiaandaa kwa walioitwa.
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Fundi wa kushona nguo kwa kutumia mashine za flatlock au za kushona fulana anahitajika. conts 0713555729
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kimsingi nimeamini watanzania sisi bado sana, watu tunalalamika kazi hakuna na tumesoma. Lakini nimeshangaa sana jana nimeweka tangazo la kazi watu wa electricity installation watu 20, nikaweka na...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Hellow guys! Naomba nitumie ukumbi huu kupata habari. Kuna askari wa JWTZ amenieleza kuwa Wilaya ya ilala inaandikisha vijana wote waliopitia JKT kwa lengo la kuwaajiri, Kama kuna mwenye uhakika...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
CARRER OPPORTUNITY Property Manager About the Company ; ZEK Group International is a multinational corporation comprised of various companies across the...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Hawa jamaa wa TRA watatoa lini short list, kama kuna mwenye taarifa atujuze wadau.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Hivi inawezekana kweli taasisi itangaze kazi kwa mshahara huu tena bank kubwa jamani hivi ni makusudi au ni dharau. Naomba mnisaidie watu wa sales ndo mishahara yenu hiyooo
0 Reactions
42 Replies
7K Views
Wanajamvi mimi ni graduate wa sheria (llb holder)natafuta nafasi ya kujitolea(volunteer) katika fani ya sheria na fani yoyote inayoendana na elimu yangu ili kujenga uzoefu na kupanua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Aliewahi kufanya interview za mahakama naomba unipe idea ya maswali yao nina interview j4
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Plz ndugu zangu nilikuwa na wazo la kufunguwa microfinance kwa peke yangu cntoweza nilikuwa naitaji kwa yeyote aliye tayar kama vp tuungane kwa pamoja na kwa njia yoyote ya halali tutafute working...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu wananchi, maofisa na wapiganaji nawasalimu katika jina la Bwana. Naomba kujua lini next intake ya kujiunga na JWTZ/JKT na taratibu zake. Sifa zote nahisi kuwa nazo ila kuhusu HIV, AIDS...
0 Reactions
21 Replies
9K Views
Mwenye update NMB lake zone jamani vipi hawa watu washaita kweli naona mda umepita sasa tangu dead line ipite.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Naomba kujuzwa kwa mwenye fununu, mana humu wengine baba zao ni watu wakubwa katika jeshi hilo hivyo huenda wakawa na nyepesi nyepesi
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Wadau JF Niaje ndugu zangu, hope mko poa, aliye na updates za hawa jamaa aniambie cauz nasikia wameanza kuita watu kwenye interview post ya Monitoring & Evaluation Assistant
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba kujua naaply vipi mafunzo ya jeshi? na aplication wanaanza lini?
0 Reactions
14 Replies
6K Views
I am persuading Ba - Economics. I am good in Economics (in case of teaching) I am good in English ( speaking and writing ) I am competent in Ms/office ( Word, power point, publisher and excel) I...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau naomba idea (about salary) ya hii kampuni! wametuita kesho interview, kabla ya saa 5 asubuhi
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom