Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Habari Wadau. Naomba kuwasilisha mada. Kipi bora kati ya kufundisha chuo taaluma uliyosomea au kwenda kufanya kazi ya hio taaluma yako ? Karibuni kwa michango.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu wana JF mimi namaliza diploma yangu ya Marketing management nataka intake ya january ni apply bachelor ya ICT je, ni chuo gani kizur Dar es Salaam?
1 Reactions
51 Replies
53K Views
Wakuu, Msaada wenu tafadhali,kwa anayefahamu maswali ya interview yanayoulizwa kwa position ya Registration Officer naomba kujuzwa. Pote kwa upande wa serikalini na private sector. Natanguliza...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mimi ni mwalimu wa somo la mathematics kuanzia darasa la tatu mpaka kidato cha nne kwa wanaohiji kufundishwa nymbani au supplimentary. Natoa hiyo huduma kwa kiasi cha sh 10000 kwa saa. Piga simu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi ni Mwl mwenye professional kama 3 iv na nimeajiriwa kama Mwl na kwa sasa nafundisha chaka moja hatari naomba msaada wenu kama nataka kufanya Categorization inakuwaje hapa maana halmashauri...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Wana JF nataka kujua hawa TBS kama tayari washaita watu kwa interview ama bado maana ni kitambo toka walivyotoa nafas za kazi.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu natumia simu haipakui Pdf! naomba mwenye uwezo atuwekee hapa majina ya walioitwa usaili na utumishi....kuna tangazo jipya la usaili pale
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Leo nilikuwa natuma maombi ya kazi zilizotangazwa na secretarieti, ktk masharti inatakiwa vyeti vithibitishwe na hakimu(certification),hiki kipengele kinafanya gharama za application zinakuwa...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Habari wana JF,TPB walitoa tangazo la kazi kwa nafasi za freelancers na team leaders,nilituma maombi kwa e-mail lakini ilifail,lakini leo wamenitumia sms tano mfululizo za aina moja wakinihitaji...
1 Reactions
35 Replies
11K Views
Naomba kwa anaejua salary ya Engineer TANESCO anijuze
0 Reactions
15 Replies
22K Views
Kama ulifanya oral interview ya NHIF basi taarifa ni kwamba tarehe 22 mwezi huu yaani alhamisi ndipo interview ziliisha hivyo kuanzia jumatatu yawezekana watu wakaitwa kazini. USIKAE MBALI NA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi ni mtumishi mwalimu katika halmashauri x Niliondoka kazini bila ruhusa na mwezi uliopita nilirudi kituoni na nkamwandikia barua mkurugenzi kumuomba anirudishe kwenye payroll maana nshafutwa...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wadau naomben msaada wapi ntapata kufanya shortcouse za project planning, monitoring and evaluaton, research, statistical package, naomben msaada wadau
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau hbr zenu, kumekua hakuna haki sawa kwanza hapa Tanzania, kwenye upataji wa travelling document i.e passport. swali la msingi, je passport siyo haki ya kila mtu kua nayo kama ID's zingine...
4 Reactions
38 Replies
11K Views
Nawasalimu. Ni mhitimu wa shahada ya kwanza ya utawala (B.A Public Administration) sina uzoefu wowote,lakini ninajituma,nina weza kufanya kazi magumu,nina utayari na haraka wa kujifunza mambo...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Habari wana JamiiForums. Nimehangaika sana kutafuta kazi mpaka nimechoka. Nakujiajiri siwezi kwa sababu sina mtaji. Nakukaa nyumbani nimechoka. kwa hiyo ndugu zangu natafuta kazi hasa kama ya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Tunahitaji mameneja (Hotel Managers) wenye elimu ya Hotel na uzoefu kwenye kazi hii Tafadhali kama una vigezo tuma CV yako info@lenjen.co.tz
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Various NGO's are seeking to employ people in different categories. Please visit the website below for more details and to see the various categories being advertised now. Visit the site,click...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Natafuta nafasi ya kufundisha somo la physics ngazi yoyote kuanzia O level hadi A level. Ni pm au ntumie email hapa, moshamosha1987@yahoo.com kwa taarifa zaidi.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari,msichana wa Kazi anaitajika eneo la kazi Tabata Segerea anaishi hapo nyumbani mshahara maelewano.kwa maelezo zaidi ni PM Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom