Siombi tena kazi uhamiaji

PRESIDA TO BE..

JF-Expert Member
Dec 12, 2012
292
250
Ndg wanaJamiiForum.

Sitokaa niombe tena kazi uhamiaji, kwasababu ajira zenyewe wanapeana na sio kistaharabu ni kwa dharau na kutuonesha watanzania tusiokuwa na ndugu uhamiaji hatuna chetu.

Hamna noma uhamiaji, ila kama kuna mtu nduguye au babayake yuko pale mwambie waaendelee na tabia yao nzuri, POA
 
PRESIDA TO BE..

JF-Expert Member
Dec 12, 2012
292
250
Niko mwanza, nimepoteza pesa yangu kutuma kwa ems then ndio majanga hayawananifanyia..
Sina kigezo gani?!
Mm sio mtoto wa kigogo si ndio..!!!
Poa
 
kikwandaga

Member
Feb 9, 2012
12
45
Ndg wanajamiiforum..
Sitokaa niombe tena kazi uhamiaji, kwasababu ajira zenyewe wanapeana na sio kistaharabu ni kwa dharau na kutuonesha watanzania tusiokuwa na ndugu uhamiaji hatuna chetu..
Hamna noma uhamiaji, ila kama kuna mtu nduguye au babayake yuko pale mwambie waaendelee na tabia yao nzuri, POA
sasa kaka hivi watu 64000 elfu mlioomba muitwe wote kweli,watanzania acheni lawama za kijinga,givi ungechaguliwa wewe na wenzio wangelalamika hivyo hivyo omba sehemu nyingine utapata elimu haiozi
 
SIKAUKA MHAPA

JF-Expert Member
Jun 11, 2012
247
170
Ndg wanajamiiforum..
Sitokaa niombe tena kazi uhamiaji, kwaksababu ajira zenyewe wanapeana na sio kistaharabu ni kwa dharau na kutuonesha watanzania tusiokuwa na ndugu uhamiaji hatuna chetu..
Hamna noma uhamiaji, ila kama kuna mtu nduguye au babayake yuko pale mwambie
waaendelee na tabia yao nzuri, POA

Au ujaweka std 7cert na leaving ya sec mpwa wangu?
 
Entreprenegro

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
601
195
Ndg wanajamiiforum..
Sitokaa niombe tena kazi uhamiaji, kwasababu ajira zenyewe wanapeana na sio kistaharabu ni kwa dharau na kutuonesha watanzania tusiokuwa na ndugu uhamiaji hatuna chetu..
Hamna noma uhamiaji, ila kama kuna mtu nduguye au babayake yuko pale mwambie waaendelee na tabia yao nzuri, POA

Usikate tamaa mkuu, hivi ndo mara yako ya kwanza kuomba kazi?, nilazima kufanya kazi pale uhamiaji..
 
mwakibete

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
2,992
2,000
Ndg wanajamiiforum..
Sitokaa niombe tena kazi uhamiaji, kwasababu ajira zenyewe wanapeana na sio kistaharabu ni kwa dharau na kutuonesha watanzania tusiokuwa na ndugu uhamiaji hatuna chetu..
Hamna noma uhamiaji, ila kama kuna mtu nduguye au babayake yuko pale mwambie waaendelee na tabia yao nzuri, POA

Punguza jazba. Ukishatimiza ndoto ya id yako utafuta huo utaratibu wa sasa.
 
Msafwa wa swaya

JF-Expert Member
Aug 4, 2012
427
250
We mwanaume komaaa kwenye vita kuna kushinda na kushindwa kawaida,amka songa mbeleee bado taifa litakuhitaj kwa namna nyingine ya kulitumikia usikate tamaaa!
 
HMS

JF-Expert Member
Oct 23, 2013
320
195
Angalia unakosea wapi na ujipange upya, cheki CV yako kama ipo ki Professional, Cover letter jaribu kufanya research, watu wanachukuliwa wengi tu na hawana ndugu, sisemi kama upendeleo hamna, hilo wanalijua wenyewe, nacho maanisha wengi wanapenda kulalamika wakati ukiangalia kwa undani ukifatilia unaona kua mlalamikiaji ndo mwenye makosa, Ajira ni kama upo vitani, kuna ushindani, lazima ujiweke vizuri, we unajifundisha kushika bastola tu wakati watu wanashika bastola, bunduki, mtu anategua mabomu sifa zote hizo anaendesha tenki lile la vita, utashindana nae? Jipange.

Kama unauhakika upo vizuri kote kote basi angalia kwingine hauwezi jua Mungu anakuepushia kitu gani, hatujui ya mbeleni, waweza kupata ajira miezi 6 ikatokea shoti section yako ukabambikiziwa kesi ukawekwa ndani, unajuaje? sasa ni kumshukuru Mungu ukikosa jambo lolote yeye ndo mwenye kufahamu zaidi, usichoke kumuomba, kitu km ni rizki yako ni yako tu.

Kila la heri
 
babo

Senior Member
Apr 9, 2014
194
170
Hi,mbona mapem ndug,jua kwamb serikali wanatoa nafas chach watu wanatuma maombi weng,ss hapo ndo maneno hutokea mara rushwa mara upendeleo,wngekua wanachukua idadi ile ile walio toa
 
lanesto

Member
Feb 15, 2014
10
20
Majna ya wakubwa ndo mengi na C/o za watu wanaofahamika c tuliotoka familia masikin ndo tuliokosa bt tukomaa tu tutatoka hata bila kuajiliwa me saiv na degree yng nimekuw mpiga picha kitaa wananicheka bt nakomaa kiaina
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom