Wanajf wenzangu nimeliona tangaz la kaz kutoka dsm university college of education ktk gazet la mwananchi leo,kama zifuatazo:
1 lecture (3)
2 assistant lecturer (5)
3 tutorial assistant (4)
4...
Naomba taarifa rasmi ama tetesi za lini watu tutaitwa kwa ajili ya usaili idara ya uhamiaji?kama mtu anayefuatilia tupeane habari jamanii matumbo joto hatujui nini hatma yetu kwenye ajira!
Habari zenu ndugu zangu naomba mwenye lile tangazo la kazi tpb katika nafasi za freelancer na team leader please anisaidie kuliweka hapa jamvini nina shida tafadhali
Tukue Pamoja Graduates Development Program , 2014
From the Guardian of 29th May
Tukue Pamoja Graduates Development Program
BUILD A SUCCESSFUL CAREER AT AFRICAN BARRICK GOLD
ABG has openings...
HABARI NDUGU?UNAKUMBUSHWA TENA IWAPO BADO HUJALIPA ADA YA USAILI TSH 10000(ELFU KUMI )KULIPA SASA MAANA MUDA UNAKWISHA.MNAOTUMIA MITANDAO YOTE(WOTE) KUANZAIA LEO TAREHE 31/5.TUMIENI KWENYE NAMBA...
Wakuu watu wanauliza hasa mheshimiwa kishindo atoa japo taarifa watu wa konstebo na sajini wataitwa lini kazini? Maana hapasomeki huku mjini.watu wanapanga mipango ya kwenda bush kupiga dili za...
Wadau nauliza kwa aliye na taarifa juu ya majina ya kuomba ajira za kilimo zilizotolewa feb.17 na deadline kuwa march 3 mwaka huu,yatatoka lini?kwa alye taarifa tafadhal,tumechoka kusubiri
JOB OPPORTUNITIES AT VICTORIA FARMING AND FISHING ORGANIZATION (VIFAF)
1. Background
The Victoria Farming and Fishing Organization (NGO) which is based in Mara Region, (Musoma and Butiama...
Habari wadau? nimepigiwa cm leo saa nne na watu wa EFC kwa ajili interview kesho saa tatu lakini mimi nipo Iringa.Anaewajua vizuri hawa jamaa anijuze kama vipi nisafiri jioni ili kesho niwe dar
Habari wanajamii,mwenzenu nimemaliza diploma in business management katika chuo cha uhasibu Arusha mwaka huu,natafuta mahala pa kufanyia tempo mwenye uwezo wa kunisaidia.
Number yangu ni...
Salamu kwenu wanaJF,
Kwa mtu mwenye mapenzi mema na ushauri namba yangu 0768538324. Binafsi nimemaliza chuo kikuu mwaka jana Bachelor of science in Mathematics.
Nimejaribu kuaplay...
Dear Colleagues in development,
A program is about to start in Tanzania, funded by Bill Merinda Gate Foundation, for transformation of the agricultural industry. However, the Senior Program...
Looking for a private home teacher for my son (7 years) in Mikocheni. Should be a professional and creative Primary teacher (male/female) with fluency in English. Should also know the procedure of...
Bcotel Tanzania is Looking for Qualified Secretary who knows computer, internet surfing,typing to Cover a post that has been announced. Please send your CV and Certifcates to: bcoteltd@gmail.com...
This is nice advice and all, but I dare to challenge COMPANIES to redesign their job descriptions and stop forcing someone's resume to fit the description.
The real reason why companies are...
Habari wana JF
Kwa yeyote anae tafuta mtu wa ku-supply mayai kwamatumizi ya mahotelini,vibanda vya chips, duka, au hata nyumbani tuwasiliane. Bei yangu ni poa sana 7500/= Kwa tray.
Tenda ya...
Hivi serikali inatoaga ajira kwa wa2 hawa kama ndio mbona cjawahi sikia na pia nitazipataje maana nipo mbioni kumaliza kozi yangu ya afisa ugavi.
Ahsantee.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.