Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hii kasumba in mlongo sasa hapa tanzania Mtu ambae hajaoa anaonekana muhuni. Mtu ambae hajaoa haaminiki. Mtu ambae hajaoa anaonekana hana akili. Mtu ambae hajaoa anaonekana mtoto. Mtu ambae...
2 Reactions
10 Replies
770 Views
Mimi ni mwenyeji kidogo JF,nakumbuka enzi hizo nauliza maswali yakijinga (hili nimekuja kulijua baadae) mpaka sasa nimekua mtu mzima kidogo kuna mambo nimeyafaham na nimeona ni muhimu kuwajuza...
12 Reactions
16 Replies
2K Views
Wadau wana Jf....... Hivi ni sawa kwa mwanaume kupambana na hata kukopa fedha ili kutatua changamoto ya kifedha ya mpenzi wake ili asije akaomba kwingine huko nao wakataka rushwa ya ngono? Hiki...
1 Reactions
54 Replies
4K Views
With all due respect Ni mwaka sasa sijaweka bandiko hapa ,,, Well, kwa kudra za M/Mungu bado tungali buheri wa afya na tunaendelea na majukumu ya kila siku ,,, 2023 ni mwaka ambao pengine...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Kuna Aina 5 za Haiba za Wanaume; Alpha: Mtawala , badboy Sigma: Mkimya, haeleweki, silent killer Gamma: Anapenda vitu hatari, fun lover Beta: Mnyenyekevu , Fara hivi, nice guy Omega: Mvivu/...
8 Reactions
28 Replies
3K Views
Mwanzo alikuwa analala kichele bila chupi ata ukifunua shuka unaona zigo ili hapa linang'aa kazi yako unapaka mate unachomeka akija kushtuka usingizini anakuta unaendelea na show. Sasa hivi...
23 Reactions
58 Replies
8K Views
Kwamba kuna migogoro,vituko,usaliti na kila aina kero,hakuifanyi ndoa kuwa ni taasisi mbaya,ndoa ni muhimu sana.Enyi kina kaka na kina dada,kipimo chako cha kumpenda Mungu wako ni kuoa au...
5 Reactions
11 Replies
776 Views
* Haijalishi una kazi au hauna kazi mchune mumeo au mpenzi wako unayetaka kumzalia ficha hela mpaka zifike 1.5M ndiyo ubebe mimba utakuja kunishukuru* Najua kabisa wnaume wezangu mtakuja hapa...
8 Reactions
47 Replies
3K Views
Mdada unaetafuta mume usijifungie ndani toka angalau nje ujipitishe pitishe uonekane huwenda ukampata mwenzio, alafu ukiwa unatembea tembea usiwe unatembea haraka haraka na ukiitwa itikia siyo...
3 Reactions
9 Replies
525 Views
Wana JF habari za mchana, Naimani mko poa na mnaendelea na harakati za kutafuta pesa. Iko hivi, Jumatano saa 10 jioni nikiwa office kwangu simu yangu ya mkononi inaita, kuangalia kaka, ana mke na...
15 Reactions
102 Replies
12K Views
Salaam, Wote ni mashaidi juu ya kiwango kikubwa sana kwenye jamii zetu cha waliokuwa kwenye mahusiano mpaka kuwa na mtoto kuvunjika kwa mahusiano hayo mpaka kupeana talaka. Talaka leo zimekuwa...
1 Reactions
237 Replies
20K Views
Wanawake wenye asili ya Pwani, Tanga Lindi na Mtwara ni exception. Atakupenda, atakueshimu ila kuchepuka kwao ni kawaida na ni fahari kwao. Reflection yake ni unakua na furaha ila laana ya...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Hii kero nimekua natafuta njia ya kuifikisha kwa pisi husika lakini nashindwa naifikishaje. Unakuta pisi kali na safi lkn papuchi haina ile natural smell hata kidogo, msinielewe vibaya simaanishi...
32 Reactions
146 Replies
8K Views
MKE WA BOSS WAKO AKIKUTAKA KIMAPENZI, JE UTAKUWA MWAMINIFU? JIBU LAKO NDIO SIRI YA ANGUKO AU MAFANIKIO YAKO Anaandika, Robert Heriel Yule Kuhani katika Hekalu Jeusi Mke wa Boss wako ameumbika...
15 Reactions
77 Replies
6K Views
Eti vidume wenzangu nyie mnaweza kuwa marafiki na hawa watoto wazuri wa kike mimi siwezi aiseeeh, yaani ukiona tu najisogeza kwa manzi hiyo mbinu ya kuomba tunda. Akininyima namwambia sawa mama...
8 Reactions
52 Replies
3K Views
Habari za jioni mabibi na mabwana, kwanza nijambo lakujivunia Christmas tumeimaliza salama na naamini mwaka mpya wote tutafika salama mungu yu nasi. Niende kwenye mada bila kupoteza muda mimi...
14 Reactions
77 Replies
5K Views
Uzi mfupi, sitaki kukuchosha Habari wanaJamiiForum! Mara kadhaa nimekua nikikutana na hii kauli " wanawake wanapenda 'sex' kuliko wanaume" sema mara nyingi huwa hawajioneshi wakihofia wanaume...
12 Reactions
140 Replies
26K Views
Habari? Wajameni naombeni msaada wa kimawazo. Kuna mwanaume ambaye anaonyesha dalili zote za kunihitaji kwenye mahusiano lakini hawezi kabisa kutamka kuwa ananihitaji anapokuwa hajanywa pombe...
9 Reactions
53 Replies
4K Views
Ndoa nyingi zinaingia dosari na hatimaye kuzusha migogoro mikubwa,kwa sababu za uongo wa wanandoa.Sasa mmeamua wenyewe kuoana,kwani mnaongopeana?.Acheni hii tabia mnasababisha taasisi ya ndoa...
4 Reactions
13 Replies
692 Views
Pamoja na kwamba biashara ya ngono imekuwepo tangu enzi na enzi, katika nyakati za miaka ya hivi Karibuni kumekuwa na ongezeko la wanawake kuzaa nje ya ndoa bila kuwa na msingi wowote kimaisha, na...
6 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom