Kumjali mpenzi wako kwa fedha kunaweza kuepukika kuchepuka?

Ruwamangi

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
880
1,537
Wadau wana Jf.......

Hivi ni sawa kwa mwanaume kupambana na hata kukopa fedha ili kutatua changamoto ya kifedha ya mpenzi wake ili asije akaomba kwingine huko nao wakataka rushwa ya ngono?

Hiki ni kisa mwanamke kasafiri katokea mikoa ya kaskazini kaenda Dar kwa issue ya kumsalimia Mgonjwa( mama yake) makubaliano na Me wake ni Akae siku mbili arudi matokeo yake amekaa siku nne

Mwanaume akawa anafosi arudi!
Wakakubaliana tena Atarudi mwanamke akapanga siku inayofuata.
Mwanaume akatuma Nauli ya kurudi kumbuka nauli ya kwenda pamoja na Mambo mengine alimpatia 50, 000 ,

Akamtumia nauli kesho yake mwanaume kuuliza umeshapanda gari aka delay kujibu meseji akajakujibu jana usiku alikuwa akiangalia Bongo star search
Amechelewa kuamka.

Mwanaume akamjibu sawa, alichokifanya aliingia kwenye Menyu ya Mpesa na kurudisha Mwamala!!

Mwanamume akamtext:

"Naona nakusumbua Mapenzi yetu yatukuwa Magumu sana".

Akamwambia sawa anashukuru.
Jana mwanamke anauliza " Hiyo nauli unatuma au"

Mwanaume amekaa kimya je Huyu Mwanaume yupo sawa atume arudi au amlie Ganzi mazima?
 
Mwanamke hataacha kuchepuka kwa sababu ya kujazwa mihela bali ataacha kuchepuka kwa sababu ya kupendwa kwa usahihi.Mimi huwa naamini kama mwanaume atampenda mwanamke kwa usahihi basi huyo mwanamke hatachepuka.Udhaifu wa mwanamke upo kwenye kupendwa.
 
Nimewaza kitu leo
Na nkaapia kua hiki kichwa kwa sasa kifikilie kijenga maendeleo yangu tu
Nmekuja kitambua hakuna kiumbe ambae hajieleww kama baadhi ya wadada aise!
Aisee kiukweli hata mimi.
swala la kuachana na mwanamke kisa pesa na mimi nimuhanga wa hilo.

Ukiwa na salary ya 300k hivi bado kuishi na baadhi ya wanawake ni ngumu sana.

Isiwe tabu tuendelee kuishi kivyetu tu, na wapenz fake, kuowa isubir kwanza.
 
Mwanamke hataacha kuchepuka kwa sababu ya kujazwa mihela bali ataacha kuchepuka kwa sababu ya kupendwa kwa usahihi.Mimi huwa naamini kama mwanaume atampenda mwanamke kwa usahihi basi huyo mwanamke hatachepuka.Udhaifu wa mwanamke upo kwenye kupendwa.
Hivi umewahi kuishi na mwanamke anae lalamika mala kwa mala hujampa pesa fulani ??

Aisee unaweza pAkimbia kwako na kulala bar 😆😂😂😂😆
 
Mwanamke hataacha kuchepuka kwa sababu ya kujazwa mihela bali ataacha kuchepuka kwa sababu ya kupendwa kwa usahihi.Mimi huwa naamini kama mwanaume atampenda mwanamke kwa usahihi basi huyo mwanamke hatachepuka.Udhaifu wa mwanamke upo kwenye kupendwa.
Kwa mwanamme kukaa na kuanza kuwaza kuwa mke wake anachepuka/atachepuka ni ulofa,tafuta pesa,ni ngumu sana kumwelewa mwanamke unataka nini,kuna watu walishaonesha upendo wa dhati kwa wake zao mwisho wa siku walisalitiwa,huwezi kumwelewa mwanamke.kikubwa tafuta pesa ,akichepuka fukuza oa mwingine

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Mwanamke hataacha kuchepuka kwa sababu ya kujazwa mihela bali ataacha kuchepuka kwa sababu ya kupendwa kwa usahihi.Mimi huwa naamini kama mwanaume atampenda mwanamke kwa usahihi basi huyo mwanamke hatachepuka.Udhaifu wa mwanamke upo kwenye kupendwa.
Aaah wap ...Hawa viumbe swala la kuchepuka kwao ni mtambuka yan halizuiliki ... Usijidanganye mkuu
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom