fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,421
- 7,973
Kwamba kuna migogoro,vituko,usaliti na kila aina kero,hakuifanyi ndoa kuwa ni taasisi mbaya,ndoa ni muhimu sana.Enyi kina kaka na kina dada,kipimo chako cha kumpenda Mungu wako ni kuoa au kuolewa.Na msidanganywe na watu kuwa eti ndoa hazina faida yoyoye,ni uongo,ndoa ni muhimu kwa maisha yako.Kama hujaoa au kuolewa basi huu ndio mwaka wako,uolewe na uoe