fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,415
- 7,968
Ndoa nyingi zinaingia dosari na hatimaye kuzusha migogoro mikubwa,kwa sababu za uongo wa wanandoa.Sasa mmeamua wenyewe kuoana,kwani mnaongopeana?.Acheni hii tabia mnasababisha taasisi ya ndoa kupigwa dhoruba,na sisi ambao tumejitolea kusaidia watu kuoana,tunapata taabu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app