Kuoa na kuaminika kuna uhusiano gani? Kwanini watu hawatuamini ambao hatujaoa?

Friedrich Nietzsche

JF-Expert Member
Sep 22, 2022
1,145
1,918
Hii kasumba in mlongo sasa hapa tanzania

Mtu ambae hajaoa anaonekana muhuni.
Mtu ambae hajaoa haaminiki.
Mtu ambae hajaoa anaonekana hana akili.
Mtu ambae hajaoa anaonekana mtoto.
Mtu ambae hajaoa anaonekana hana majukumu.
Mtu ambae hajaoa anaonekana hafai kuwa-kiongozi.

Lakini kinachoniuma zaidi, mtu ambae hajaoa HAAMINIKI! But Why?

Kuna uhusiano gani kati ya kuoa na tabia ya mtu hasa uaminifu?
 
Inategemea na MTU kuheshimika hakutokani umeoa au haujaoa .

Mimi sina mke wala mtoto Ila ninavyoishi ,naishi kwa kujiwekea maisha yenye mpangilio Sana.

Siendi usiku Kama sina sababu za msingi.

Sinywi pombe wala kuvuta bangi au sigara.

Siingizi wanawake sehemu ambayo naishi.

Kupitia hayo mambo WATU ambao wameaoa huwa nawashauri nini wafanye ili waishi vizuri.

Kuoa au kutooa sio sababu ya kupata heshima au kukosa heshima.

Heshima na kuaminika huwa kunatokana na wewe unavyopunguza mazoea na watu, na kubwa kuliko yote kuwa na PESA ya kukuwezesha kuishi vizuri.
 
Mtu mwenye Ndoa ni mtu ambae yupo responsible na hana mambo mengi.

HUO NDIO UTAMADUNI WETU, LAKINI SIO HALI HALISI.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Kitu kibaya kuhusu washkaji zangu waliooa ni "sio waaminifu kabisa kwenye pesa" yaan mimi hiwa simwaminibkabisa mtu aliyeoa akiniambia niazime pesa nitairudisha siku flani. Huwa ni waongo waongo sanaa kwa sababu ya majukumu ni vipato vyao duni.

Hio kuaminika mnakokusemaga sijui huwa mnamaanisha nini. Mimi mtu aliyeoa akiniambia nitakulipa siku flani huwa nampa tu kama hio pesa siihitaji soon ila kama nina kazi nayo simpi hata kama ninayo.

Kingine kwenye madeal yote yanayohusisha pesa wanangu waliiooa huwa ni wachepushaji kinoma. Mnaweza kubaliana vizuri kabisa hii pesa tuiwekeze hivi, ila mkiachana tu mwenzio ananyofoa anaenda hudumia familia kwa kmani kuwa siku flan atairejesha, ila huwa wanasumbua sana kuja kuifidia.

Angalizo, nimetoa mifano ya jamaa zangu simaanishi wote waliooa wapo hiyo. Na imani ninayoizungumzia hapa ni kwenye pesa tu na sio mambo mengine.

Mimi siwezi mwamini mtu aliyeoa mwenye majukumu kwenye pesa. Nefa
 
Nilenda kutafuta chumba cha kupanga mji X haha nilienda zaid ya nyumba nne wanataka niwe na mkee niliona waajabu sana yani kama huna mkee anakuambia hapangishi
 
UONGO
HESHIMA PESA
MONDI NA KAKA YAKO ALIE OA NANI AKISIMAMA ATAHESHIMIWA

KATAA NDOA
KIJANA USIOE
NDOA NI UTAPELI
SAVE KIBUNDA KALE BATA
 
Inategemea na MTU kuheshimika hakutokani umeoa au haujaoa .

Mimi sina mke wala mtoto Ila ninavyoishi ,naishi kwa kujiwekea maisha yenye mpangilio Sana.

Siendi usiku Kama sina sababu za msingi.

Sinywi pombe wala kuvuta bangi au sigara.

Siingizi wanawake sehemu ambayo naishi.

Kupitia hayo mambo WATU ambao wameaoa huwa nawashauri nini wafanye ili waishi vizuri.

Kuoa au kutooa sio sababu ya kupata heshima au kukosa heshima.

Heshima na kuaminika huwa kunatokana na wewe unavyopunguza mazoea na watu, na kubwa kuliko yote kuwa na PESA ya kukuwezesha kuishi vizuri.

mkuu ushauri wako umenichoma
 
Back
Top Bottom