Nimepewa habari kuwa mume wangu ananisaliti, naomba ushauri jinsi ya kusahau jambo hili

Buntungwa

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
549
304
Wana JF habari za mchana,
Naimani mko poa na mnaendelea na harakati za kutafuta pesa.

Iko hivi, Jumatano saa 10 jioni nikiwa office kwangu simu yangu ya mkononi inaita, kuangalia kaka, ana mke na watoto 2 anaishi maeneo fulani hapo Dar, nikapokea tukasalimiana kwani in muda mrefu hatujawasiliana.

Baada ya salamu kaka akaniambia Sister kuna jambo nataka nikwambie. Leo nimekaa nalo muda mrefu sana bora nikueleze tu nikamjibu niambie tu usijali, my kaka akaniambia nmekorofishana na mke wangu, kanipeleka polisi, nimetolewa na rafiki zangu tumekorofishana sana mke wangu ameondoka ameenda kuishi kwa Dada yake simtaki tena yule mwanamke ni hatari sana simtaki yani simtaki kabisa, nikamuuliza kimetokea nini mpaka aondoke my kaka akanijibu nimegundua mke wangu anatembea na mume wako muda mrefu tu ila nilikuwa naogopa kukwambia kwa ajili ya ndoa yenu ila nimeona anazidi nimeamua nikueleze ili uamue cha kufanya.

My kaka anaendelea yaani huyu mwanamke ni shetani kabisa sister mfate mfate mkamkomeshe. Mmmh, nikashtuka kidogo, nikatafakari huku nimeshtuka ni jambo jipya na geni kwangu.

Mmh nikashtuka tena nikamuuliza my kaka umejuaje hilo akaniambia nimekuta picha WhatApp na chat zao wanawasiliana na pia mama mkwe wako anamjua na wifi zako wanawasiliana sana na mke wangu hata shemeji yako anamjua vizuri mke wangu.

Akaendelea kaka kuniambia mume wako akiwa anaenda Tanga kikazi huwa anaenda na mke wangu na wameenda huko Mara nyingi tu, kweli mwili uliniisha nguvu nikawa natetemeka heeee ni ndoto au naelenzwa live? najiuliza.

Kaka anaendelea nilimpigia simu mume wako nikamwambia mbona unachit na make wangu mume akajibu nitakutafuta niko bize sana muda huu (mpaka nakupigia simu hii hajawahi kunitafuta ila huo ndio ukweli sister, my kaka anaendelea hata huyo mtoto wa pili aliozaa mke wangu nahisi sio mtoto wangu amezaa na mumeo, jamaniiii acheni tu.

Nikarudi home nikamuelezea mume wangu akakataa. Amenieleza mengi mengi ila kwangu halifutiki naomba mnisaidie nifanyeje?

Linapita kichwani muda wote.
 
Wana jf habar za mchana,

Naimani mko powa na mnaendelea na harakati za ktfuta pesa
Wana jf mnalionaje hili swali?liko hivi
Ni jtano SAA 10 jioni nikiwa office kwangu simu yangu ya mkononi inaita,kuangalua in my kaka,my kaka anamke na watt 2 anaishi maeneo flani hapo dar,nikapokea tukasalimiana kwani in mda mrefu hatujawasiliana baada ya salam kaka akaniambia.
Sister kunajambo nataka nikwambie Leo nimekaa nalo mda mrefu sana bora nikueleze tu nikamjibu niambie tu usijali,my kaka akaniambia,
Kaka akaanza kutiririka nimekorofishana na mke wangu,kanipeleka polisi, nimetolewa na rafiki zangu tumekorofishana sana mke wangu ameondoka ameenda kuishi kwa Dada ake simtaki tena yule mwanamke ni hatar sana simtaki yani simtaki kabisa,nikamuuliza kimetikea nini mpaka aondoke my kaka akanijibu ``NIMEGUNDUA MKE WANGU ANATEMBEA NA MUME WAKO MDA MREFU TUU ILA NILIKUWA NAOGOPA KUKWAMBIA KWAAJILI YA NDOA YENU ILA NIMEONA ANAZIDI NIMEAMUA NIKUELEZE ILI UAMUE CHA KUFANYA my kaka anaendelea yani huyu mwanamke in shetani kabisa sister mfate mfate mkamkomeshe"mmh nikashtuka kidogo,nikatafakari huku nimeshtuka in jambo jipya na geni kwangu
Mmh nikashtuka tena nikamuuliza my kaka umejuaje hilo akaniambia nimekuta picha wasap na chat zao wanawasiliana na pia mama mkwe wako anamjua na WiFi zako wanawasiliana sana na mke wangu hat shemeji yako anamjua vizuri mke wangu
Akaendelea kaka kuniambia mume wako akiwa anaenda tanga kikazi huwa anaenda na mke wangu na wameenda huko Mara nyingi tu,kweli mwili uliniisha nguvu nikawa natetemeka heeee no ndoto au naelenzwa live??? najiuliza
kaka anaendelea nilimpigia simu mumewako nika mwambia mbona unachit na make wangu mime akajibu nitakutafuta nikobize San mda huu(mpaka nakupigia simu hii hajawahi kunitafuta ILA huo ndio ukweli sist,my kaka anaendelea hats Huyo mtot was pili aliozaa make wangu na his I sio MTT wangu amezaa na mumeo jamaniiii acheni tuuu
Nikarudi home nikamuelezea mume wangu akakataa
AMENIELEZA MENGI MENGI ILA KWANGU HALIFUTIKI NAOMBA MNISAIDIE NIFANYEJE?

LINAPITA KICHWANI MDA WOTE
Fika ofisi za Global Publisher hapo, una kitu utafika mbali.

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Kama ulitaka ushahidi basi umeufuta mwenyewe, haraka zako za kumuuliza mumeo zimepoteza ushahidi.

Na kaka yako nae anakuaje na hasira za kike namna hiyo, kwake kumewaka moto kwanini awashe na kwako.
Mngetulia na kaka yako kabla hajamtimua mkewe mngejua nn mnafanya sasa nyote mnaamua kwa kutumia hisia na sio akili.

Na kwakua wewe huna ushahidi tulia na mumeo, kaka yako kamuacha mkewe baada ya yeye kujirishisha na ushahidi wake ila wewe ni maneno tu ya kaka yako. Tafuta ushahidi usije ukajuta baadae.
 
nimekuelewa
 
AMENIELEZA MENGI MENGI ILA KWANGU HALIFUTIKI NAOMBA MNISAIDIE NIFANYEJE?

LINAPITA KICHWANI MDA WOTE
Anzia pale juu
akaniambia nimekuta picha wasap na chat zao wanawasiliana na pia mama mkwe wako anamjua na WiFi zako wanawasiliana sana na mke wangu hat shemeji yako anamjua vizuri mke wangu
Ukimaliza endelea hapa
Akaendelea kaka kuniambia mume wako akiwa anaenda tanga kikazi huwa anaenda na mke wangu na wameenda huko Mara nyingi tu,kweli mwili uliniisha nguvu nikawa natetemeka heeee no ndoto au naelenzwa live???
Ukimaliza endelea tena hapa
nilimpigia simu mumewako nika mwambia mbona unachit na make wangu mime akajibu nitakutafuta nikobize San mda huu(mpaka nakupigia simu hii hajawahi kunitafuta ILA huo ndio ukweli sist,my kaka anaendelea hats Huyo mtot was pili aliozaa make wangu na his I sio MTT wangu amezaa na mumeo
Ukimaliza Anza na hao aliokwambia wanajua kisha baada ya kuchukua maelezo yao nenda kamalizane na Kaka yako, baada ya hapo wahi Mahakamani km humtaki mumeo

Angalizo; km unapenda ndoa za mitara wake 4 kuendelea ni mitara, achana na hizo procedure fanya km hakuna kilichotokea endelea na Maisha yako
 
Ukimuacha Munro wote mtakuwa mmempa uhuru wifi yenu ku enjoy na mumeo mkomoe wifi ako na wewe mzalie mumeo watoto wengine kisha mfanye sherehe ya kutimiza miaka kadhaa ya ndoa afu wifi yenu ashuhudie ila mfanye ajue kuwa unajua anachokifanya
 
Na kaka yako nae anakuaje na hasira za kike namna hiyo, kwake kumewaka moto kwanini awashe na kwako.
Wewe mkeo angegongwa na mume wa dada yako na sio kugongwa tu amegongwa akatungishwa na mimba mimba ambayo wewe umeihudumia mwanzo mwisho unakuja unagundua Mawasiliano ya mkeo na jamaa wa dada yako kwamba jamaa anamgonga mkeo unampigia jamaa kumwelezea anakuletea dharau ungefanyaje wewe unajua maumivu ya kutombewa kwenye uwekezaji wako tena mbaya zaidi na mtu unaemfahamu unacheka nae kila siku kumbe huyo ndio anaekutombea mkeo unaweza kusema jazba za kike sababu hujawahi kubanwa na Mavi alafu chooni kuna mtu ?
 
Wana JF habar za mchana,
Naimani mko poa na mnaendelea na harakati za kutafuta pesa.

Iko hivi, Jumatano saa 10 jioni nikiwa office kwangu simu yangu ya mkononi inaita, kuangalia kaka, ana mke na watoto 2 anaishi maeneo flani hapo Dar, nikapokea tukasalimiana kwani in muda mrefu hatujawasiliana.

Baada ya salamu kaka akaniambia Sister kuna jambo nataka nikwambie. Leo nimekaa nalo muda mrefu sana bora nikueleze tu nikamjibu niambie tu usijali, my kaka akaniambia nmekorofishana na mke wangu, kanipeleka polisi, nimetolewa na rafiki zangu tumekorofishana sana mke wangu ameondoka ameenda kuishi kwa Dada ake simtaki tena yule mwanamke ni hatar sana simtaki yani simtaki kabisa, nikamuuliza kimetokea nini mpaka aondoke my kaka akanijibu nimegundua mke wangu anatembea na mume wako muda mrefu tuu ila nilikuwa naogopa kukwambia kwa ajili ya ndoa yenu ila nimeona anazidi nimeamua nikueleze ili uamue cha kufanya.

My kaka anaendelea yaani huyu mwanamke ni shetani kabisa sister mfate mfate mkamkomeshe. Mmmh, nikashtuka kidogo, nikatafakari huku nimeshtuka ni jambo jipya na geni kwangu.

Mmh nikashtuka tena nikamuuliza my kaka umejuaje hilo akaniambia nimekuta picha WhatApp na chat zao wanawasiliana na pia mama mkwe wako anamjua na wifi zako wanawasiliana sana na mke wangu hata shemeji yako anamjua vizuri mke wangu.

Akaendelea kaka kuniambia mume wako akiwa anaenda Tanga kikazi huwa anaenda na mke wangu na wameenda huko Mara nyingi tu, kweli mwili uliniisha nguvu nikawa natetemeka heeee ni ndoto au naelenzwa live? najiuliza.

Kaka anaendelea nilimpigia simu mume wako nikamwambia mbona unachit na make wangu mume akajibu nitakutafuta niko bize sana muda huu (mpaka nakupigia simu hii hajawahi kunitafuta ila huo ndio ukweli sister, my kaka anaendelea hata huyo mtoto wa pili aliozaa mke wangu nahisi sio mtoto wangu amezaa na mumeo, jamaniiii acheni tu.

Nikarudi home nikamuelezea mume wangu akakataa. Amenieleza mengi mengi ila kwangu halifutiki naomba mnisaidie nifanyeje?

Linapita kichwani muda wote.
Adui yako siyo mumeo, adui yako ni huyo aliyekuletea habari.

Achana na huyo aliyekuletea habari, kama ni shoga'ko basi kaa nae mbali kabisa.

Ukisikia mumeo anachepuka jitazame wewe, unamkogesha kwa maji ya hiliki?

Halafu kama u Muislam, mrai aongeze mke.
 
Back
Top Bottom